zanzibar

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kichocho unaofadhiliwa na Wachina waongeza uelewa miongoni mwa watoto wa Zanzibar

    Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Taarifa Yako: Zanzibar Kutakuwa na Maandamano.!

    Anasema wana zunguka na magari ya kijeshi usiku huu kimya kimya. Taarifa zaidi ni kuwa hawapigi ving'ora kama huku bara ila wanazunguka kila eneo kutoa taarifa kuwa huko napo wapo. Niliposoma juu ya habari ya watalii kupungua Zanzibar nilijua hii nayo itakuwa sehemu ya kuwakimbiza, anauliza...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  4. JamiiForums Tanzania Walivyojipanga yale maeneo ambayo wanaona ndio chanzo kumbe yanaweza maandamano yakawa Zanzibar

    Sehemu zote zilizotokea October 29 Polisi, wanajeshi na TISS wamejazana wakiwa teyari kumwaga damu. Sasa wasicho kijua kinaweza kuwa yani walipo pangwa sio hapo. Mtakuja kushangaa kesho yakawa sehemu ambayo uwezi tegemea kabisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wengi wakimbilia Zanzibar kuogopa Desemba 9?

    Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida. Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9. Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili Quran “Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”...
  6. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Media inakumbushia yaliyowahi tokea Zanzibar. Ina maana gani?

    Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi. Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa na wale waliohukumiwa kifo mbele ya wananchi. Maandamano ya kupinga uchaguzi kipindi cha mkapa...
  8. JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo (root cause) ni Samia na genge lake; mkitaka kuamini hilo, Dr. Mwinyi aje huku na Samia aende Zanzibar, nchi itatulia

    Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE...
  9. JamiiForums Tanzania Umafia wa Zanzibar una historia!

    hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
  10. JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya yule Sheikh, Zanzibar iliishia wapi?

    Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa, Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda ampelekee kwake. Baadae huyo Binti akaanza kugoma kwenda madrasa, KUOMBANA, akafunguka unyanyasaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanganyika wameshindwa kustahimili kile Zanzibar imepitia tokea siku ya kwanza ya muungano

    Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

    Jitafakari tena. Yangu ni hayo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

    Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Othman Masoud na Jussa - Mtoseni Samia muinusuru Zanzibar

    Salam ndugu Othman Masoud na Jussa Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia Zanzibar na wala hakuisaidii ACT, sanasana kunaisaidia CCM. Nasema hivi kwa sababu sasa hivi bi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Zanzibar hayupo kwenye list ya ICC?

    Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Clemence Mwandambo: Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar

    Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Video: Mkanganyiko wa katiba Zanzibar kumbe 'Mufti(kiongozi mkuu wa waislamu)' huteuliwa na Rais

    Kila siku tunasema hapa sisi waislamu hatuna chombo cha kutusimamia,inakuwaje Mufti wa Zanzibar ateuliwe na Raisi? Tena serikali inamlipa mshahara na kuihudumia ofisini yake.. Mbona wakatoliki,wasabato, KKKT na Waanglikana viongozi wao hawateuliwi na Raisi?
  19. JamiiForums Tanzania Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…