The Zamu Music Awards was an annual awards show in Flanders (Belgium), where the most outstanding Flemish and international musicians of the past year were honored.
The Zamu Awards were founded ZaMu (Zangers en Muzikanten; the Flemish association of singers and musicians). ZaMu was discontinued in 2006, but the organization of the Zamu Awards was taken over by Muziekcentrum Vlaanderen (Flanders Music Center), under the name Music Industry Awards (MIA's). [1]
For most award categories, a jury of music journalists selects four nominees. The winners are voted by members of the Flemish music industry, such as musicians, managers and record labels. Exceptions are the awards for best song and best music DVD, where the votes of the public select the winner.
A special award is the Lifetime Achievement Award, given each year to an artist to honor his or her complete creative career.
Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni
Mwingine mkubwa kuliko yeye akaibuka kwenye salamu za mwaka mpya.. Lakini hadhira haikumpokea vema...
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.
Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.
Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania.
Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM.
1.Utekaji
2.Mauaji
3.Uchakachuaji wa uchaguzi.
'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
Miye nasema sijui! Mayai yetu wao wameyatumbua kwa risasi.
Washazoea kuchezea mayai yetu. Siye fukara hatuwezi kujichanga kununua hata bunduki ya laki saba siye.
Siye hata tukipewa bunduki hatuwezi kutumia siye. Siye hatujui zinapouzwa siye. Miye sijui walahi.
Mwasema siye ati wachochezi...
GT
Hiki ndo kirusi kikuu kinacholitafuna taifa na pengine kuzidi kurudi nyuma tena nyuma zaidi. Hatutaendelea kamwe na tutazidi kuchukiana milele ajenda kuu ya wanasiasa wetu ni wizi ila wanatuchonganisha kwa makusudi.
Akili za hawa waumini wetu wanazijua wao wenyewe bahati mbaya hata watawala...
Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema .
Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na...
Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake"
Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka.
Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa"
"Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
bunge la chama kimoja
chama kimoja
familia
haya
humphrey polepole
jeshi
kugombea
ndugu
nyie
polepole
polisi
saidia
ubunge
udiwani
utitiri
uwajibikaji
viongozi
vyeo
zamu
zao
Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas.
Tuendelee kunywa mtori.
ZNZ N MOJA YA SEHEMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WANA UWANJA UNAKIDHI MATAKWA NA SHERIA NA KANUNI ZA CAF
HAKA KAUSEMI NIMEKAPENDA SANA KWENYE MAJIBU YA CAF....
NIRUDI KWENYE MADA WANA SIMBA WAKATI YANGA WANAVAA JEZI ZA VISIT ZNZ HAMKUWAELEWA EEEH
YAANI NA WANANCHI TUMETENGENEZA...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025.
Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya.
Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi.
Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani.
Leo ni...
Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump.
https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi.
Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement.
Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ?
https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe.
Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia.
Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa...