zama

Zama, also known as Xama, in what is now Tunisia is best known for its connection with what is called the Battle of Zama, in which, on 19 October 202 BC, Scipio Africanus defeated Hannibal, ending the Second Punic War with victory for the Roman Republic, and breaking the power of Ancient Carthage.

View More On Wikipedia.org
  1. Awamu iliyopita ilituondoa kwenye Staha na Utu wa Kiafrika, sasa ni zama za kufuata Katiba na Sheria

    Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa kamati ya usaama ya taifa au kama mwanasiasa? Kwa kauli hii mama alikuwa na staha kweli hasa kwa raia wa...
  2. Afrika inarejea katika zama za mapinduzi?

    Afrika ya zama za Mwl Nyerere, Nkrumah, Jomo Kenyatta, Mobutu Seseseko, Augustino Neto. Tulishuhudia mapinduzi kila uchao sababu kubwa ilikuwa pengine uchanga wa nchi husika, maslahi ya wakoloni, upendeleo katika ugawaji wa rasilimali na nk. Kidogo Afrika ilipumzika katika zama za mapinduzi ya...
  3. J

    Kila zama na kitabu chake; Profesa Kabudi na komredi Polepole tunamiss sana mbwembwe zao siasani

    Mambo yanaenda kwa kasi sana. Vinara wa mbwembwe za kisiasa na lugha yenye lafudhi mwanana ndani na nje ya CCM Prof Kabudi na komredi Polepole wako kimya sana. Jamani muwe mnajitokeza kwenye forum mbalimbali tusije tukawasahau 2025. Nawatakia Pentecoste yenye baraka.
  4. Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

    Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
  5. Jinsi ya kutongoza katika Zama hizi

    Usimtumie meseji za userious sanaa Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako??? N.k Hizi manzi huwa hazipendi maswali maswali ,kiuhalisia binadam hapendi maswali. Nakupa mbinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…