zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni huzuni kuona jitu zima na akili zake lina-fall in love kama litoto

    Inasikitisha sana wakuu. Yaan pale unaona mwanaume amekua zoba kwa dem ambae ni malaya grade A. Dem ameshaliwa mikao na matundu yote kisha anatokea boya mmoja mwenye ushamba wa madem eti anaweka ndani. Kwanza unatuchukulia malaya wetu tulozoea kumpiga mitungo na kujilia tunavyotaka. Hii tabia...
  2. A

    Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

    Walikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
  3. A

    DOKEZO Mzee wangu alikuwa Askari, hajapata stahiki zake za kustaafu za Mwaka 1987 – 2003

    Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida badala ya Kagera, alipokuja kushtuka baadaye akaifuatilia na kubaini hadi muda anafuatilia tayari...
  4. M

    Goli la Mama na ndege zake siyo shida, ila kusuruhishwa na Mama ndiyo kuingilia soka..! Bongo itaendelea kuwa bongo!

    Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
  5. Debora Tluway: Jimbo la Nsimbo CCM na Jumuiya Zake Tuko Salama

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara...
  6. M

    Israel furaha yake ipo kwenye uvumbuzi wa siraha na kupiga adui zake kama mlivyo Watangawizi, furaha yenu ni mikopo na kufungana jela

    Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
  7. Je, ni sahihi Wakristo kuishabikia Israeli inapowapa vipondo majirani zake?

    Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko. Mimi Biblia yangu inanikataza kufurahia vita na mauaji na badala yake inanihimiza kuombea amani na kuwa mpatanishi. "Heri wapatanishi...
  8. MX Carter ni Nani? Na Kwanini Wasanii Wanalalamika Kuhusu Dhuluma Zake?

    Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo. Kinachoshangaza...
  9. Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  10. Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  11. Mavazi ya Jeshi na bajeti zake USA

    Mavazi ya kivita katika Jeshi la Marekani (U.S. Military) ni ya kisasa, yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya kulinda askari vitani, kuongeza ufanisi na kuwapa uwezo wa kuhimili mazingira mbalimbali ya mapigano. Gharama ya mavazi haya inategemea na aina ya kikosi (kama Army, Navy...
  12. Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
  13. Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

    Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu vinatangaza kumuunga mkono. Alitegeneza machawa wa kumsifia kila kona na kwenye kila jambo kiasi kwamba...
  14. Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  15. Mahubiri yamekuwa siasa je,mnajua athari zake??

    Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
  16. Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  17. Mfumo hauhitaji akili ya masikini bali unahitaji za masikini

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo — lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  18. The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
  19. U

    Ushauri Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati kuu kauli zake zina ukakasi , he disregard taratibu husika

    Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A...
  20. Visasi vitalipwa mrudi kwenye historia

    Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao. Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu. Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…