zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Bajeti Milioni 5. Nyuchi zake sasa! Hapo chini

    i
  2. JamiiForums Tanzania Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli,Simba day ijayo wanastahili waende wenyewe uwanjani

    Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu. * Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni...
  3. JamiiForums Tanzania TAMBUA HISIA, KUSUDI NA VITENDO VYA MTU KUPITIA ISHARA MBALIMBALI ZA MWILI

    Zingatia hii, mwili wa binadamu unaweza kuonesha ishara mbalimbali katika kufikisha ujumbe pasipo kutumia maneno kabisa. FBI au polisi wapelelezi wanafanikiwa kuwabaini watuhumiwa wa makosa mbalimbali kwa urahisi zaidi kwasababu ya ishara wanazozionesha wakati wakihojiwa. Zifahamu ishara...
  4. JamiiForums Tanzania Mama mpende tu huyo Baba, ila ndiyo anakuumiza japo anakudanganya kwa Stori zake pamoja na Tabasamu lake la Kimafia

    Hapa namzungumzia Mama kama Mama na Baba kama Baba tuelewane tafadhali.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ni sawa Muumini kuungama dhambi kwa mchungaji/padri, Je padri/mchungaji anaungama kwa nani?

    Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanganyika halisi, ataitetea Tanganyika kwa nguvu zake zote

    Tumepigwa sana Watanganyika Itoshe kusema, tunahitaji kuungana watangayika kuitetea Tanganyika yetu na kukemea dhuluma kwa watangayika wenzetu popote pale walipo
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Uswege = unisamehe Andungwise = ameniongoza Ambwene = ameniona Mwalugano = mwenye upendo Negwako = niwe wako Andombwise = ame nivusha Tusajigwe = tumebarikiwa Ambele = amenipa Subiraga= tumainia Angetile = amenitazama Andolile = amenitafuta Nkundwe= mpendwa Sekela = furahia Lusako=...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna hata Jimbo moja lenye maendeleo, labda liwe na katiba yake na sera yake zake, ila sio kwa sera hizi. Wajinga tunahadaiwa sana

    Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera nzuri za kufanya biashara. 4. Elimu bora na yenye viwango. 5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii. 6...
  9. JamiiForums Tanzania Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah haitasalimisha silaha zake chini ya vitisho vya Israel

    Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon Mkuu wa Hezbullah...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje, uwe au usiwe CCM, kufurahia Lissu kuwekwa rumande na kuwa mbali na familia na jamaa zake? Labda uwe na roho mbaya ya kishetani sana

    Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani sana. Kwa mfano, chukulia kibaka amekamatwa akijaribu kupora simu yako. Watu wenye hasira wanaamua...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Mwenye taarifa jinsi ya kufika na gharama zake!

    Kwema? Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa. Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za kuingia izo Hifadhi. Mwenye msaada zaidi itapendeza. Itakua ni day trip, sitalala.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  16. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake. Kamanda Silo lazima alipe fadhili.

    Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe. Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema. Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
  17. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia akikemea ufisadi kwenye hotuba zake

    Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi. Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni bilionea huku miradi mingi ya maendeleo ikikosa fedha. Je ukimya wake ni kukiri kuwa yeye ni Shemu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  19. JamiiForums Tanzania Its even more crazier kufikiria kwamba jinsi mwanadamu anavyozidi kubunu mbinu za ku-survive ndivyo anavyoongeza njia zake za kupukutika

    Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine. Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu. Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…