zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi ya 100,000 wa Lebanon waikimbia nchi, waingia Sysria kama wakimbizi

    Magaidi ya waislamu, Hezbollah inasababisha shida kubwa sana kwa wananchi wa Lebanon, na mbaya zaidi haya magaidi sio raia wa nchi hiyo, ni majitu yametokea huko mbali yamejawa na mzuka wa kiislamu wa kuua watu. ============= More than 100,000 people have crossed into Syria from Lebanon since a...
  2. JamiiForums Tanzania Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

    Dar inashangaza Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara. Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Treni ya SGR Dar-Moro inasafiri na nafasi wazi zaidi ya nusu wakati awali tiketi zilikuwa zinaisha siku 1 kabla; Tatizo ni nini? Ushahidi huu hapa

    Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya kwa siku kadhaa kupitia mfumo wa mauzo ya tiketi na kuuhitimisha tarehe 25 Sept 2024, dakika 25 kabla...
  5. JamiiForums Tanzania Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

    Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi. Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wadau tajeni Nyuzi zilizowahi kufa na kufufuka zaidi ya mara mbili

    Wakuu
  7. U

    JamiiForums Tanzania News alert baada ya Sabato kumalizika, Israel yaanzisha mashambulizi mapya muda huu yakilenga na kusambaratisha maeneo zaidi ya 180

    Wadau hamjamboni nyote? Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180 Taarifa kamili hapo chini New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda azindua Kituo cha Afya Makoga (Wanging'ombe) kilichojengwa kwa zaidi ya Tsh. 500

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili. Prof. Mkenda amezindua Kituo cha Afya Makoga katika Jimbo la Wanging'ombe kilichojengwa na Serikali kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

    Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV) Katika SmartTv pia na Smartphone Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/= Hapo kuna Live tv 23,000+ Movies 10,000+ Series 10,000+ Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k Chaneli za D@STV 180+ C@nal Afrique 150+ Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport...
  10. JamiiForums Tanzania Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa Ukumbi na Vyumba vya kulala Wageni Parokia ya Kasumo; zaidi ya milioni 45 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa. Harambee hiyo imefanyika...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ni ajira gani ambazo wanaume wanalipwa zaidi ya wanawake?

    Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
  12. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Shilingi Bilioni 830 Kukabiliana na Athari za El-Nino

    ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL - NINO Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya na kwa ubora barabara na madaraja yalioathiriwa na mvua za El -Nino na kimbunga Hidaya nchini kote...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni mtu mwenye akili zaidi ya tunavyodhani

    Wanawake wana akili zaidi ya tunavyowadhania, sema tuu hujifanya kama hawana akili, haswa akiwa karibu na mtu anayempenda na anayemwamini. Huwa wanajizima data na kujifanya hawana akili au mambo flani hawaelewi, hii wanafanya kwa makusudi kabisa na wanajua wanachokifanya, sio bahati mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Kimbunga Yagi chaleta maafa Vietnam, zaidi ya 179 Wafariki, mamia hawajulikani walipo

    Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi. Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani walipo kufuatia janga hilo, na juhudi za kuwatafuta zinaendelea. Kimbunga Yagi kinaelezwa kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

    Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
  16. JamiiForums Tanzania Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

    Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise... Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali... Zaidi sana, tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni Albam bora zaidi ya Koffi Olomide

    𝐊𝐎𝐅𝐅𝐈 𝐎𝐋𝐎𝐌𝐈𝐃𝐄 𝐕𝟏𝟐 𝐀𝐋𝐁𝐔𝐌 Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji kilitumika haswa. Hii album ilinikuta tayari niko shule ya msingi. Nadhani mwaka 1995 albam nyingi kali za...
  18. JamiiForums Tanzania Mtanzania wa kawaida kwa Sasa wallet yake inaweza kuwa na vitambulisho zaidi ya kumi

    Wingi wa vitambulisho inatoa tafsiri gani? Mimi kama BabaMorgan hii ndio list ya vitambulisho nilivyonavyo. 1. Nida 2. Driving license 3. Vote Id 4. Kitambulisho Cha kazi(ofisini) 5. Kitambulisho Cha kazi(TPA) 6. Kitambulisho Cha kazi(Terminal 2) 7. Kitambulisho Cha kazi (Taffa) 8. CRDB ATM...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika! Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…