zaidi duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
  2. JamiiForums Tanzania Nchi zenye kupendeza, uzuri na mpangilio wa Ujenzi mzuri zaidi Duniani

    Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira 1. Italy Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical. Mijini kama Rome, Florence, Venice ina majengo ya kihistoria kama Duomo ya Florence, Colosseum, na...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana Africa ndio bara la watu wakarimu zaidi duniani

    Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za...
  4. JamiiForums Tanzania China kujenga bwawa kubwa zaidi duniani Tibet kwa gharama inayozidi bajeti ya mataifa kadhaa Afrika

    China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
  5. JamiiForums Tanzania Term hii Nchi itakua inachekesha zaidi duniani kama hawa wabunge wote wakishinda😎

    Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
  6. JamiiForums Tanzania Kuku ghali zaidi duniani

    1. Ayam cemani 2. Sultan 3. Phoenix 4. Yokohama 5. Polish crested 6. Sebright 7. Frizzle
  7. JamiiForums Tanzania Ndege za Kivita hatari zaidi Duniani

    Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa. 🔝 Ndege Bora za Kivita Duniani (2025) 1. F-35 Lightning II (Marekani) Uwezo wa Stealth: Imeundwa kwa teknolojia ya hali...
  8. JamiiForums Tanzania Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake. Lakini mara nyengine...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mimea mitano inayolindwa zaidi Duniani Na maisha ya siri ya kujamiana kwa mimea!

    Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
  10. JamiiForums Tanzania Mtaro mkubwa zaidi duniani

    Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli duniani—utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu wenye urefu wa kilomita 1.7 (kama maili 1.1) ambao umeundwa ili kuvuka sehemu nyembamba zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania The Numbers Gang 26, 27 and 28: Uliza maswali utajibiwa na wanajua kuhusu makundi haya hatari zaidi duniani.

    Kwa ambao wasio na ABCs za kundi hili... The Numbers Gang ni genge la wahalifu hatari zaidi ndani ya magereza ya South Africa. Chanzo cha kuanza kwake bado hakijafahamika ila kuna stories tofauti tofauti. Hoja yenye mashiko zaidi ni ile ya lilianzishwa kutetea maslahi ya wafanyakazi weusi...
  12. JamiiForums Tanzania Hii hapa Orodha ya Wachezaji 15 Wenye Majina Magumu zaidi Duniani

    Baadhi ya majina hayo ni kama 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece) 2. Jakub Błaszczykowski: (Poland) 3. Grzegorz Krychowiak: (Poland) 4. Wojciech Szczęsny: (Poland) 5. Yevhen Olehovych Konoplyanka: (Ukraine) 6. Jakub Wawrzyniak: (Poland) 7. Panagiotis Tachtsidis: (Greece) 8. Hakan Çalhanoglu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  15. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  16. JamiiForums Tanzania Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

    Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani
  17. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  18. JamiiForums Tanzania Uchina Wameunda Kamera Yenye Nguvu Zaidi Duniani, Ikinasa Taswira kutoka Anga za Juu

    Unaweza kusema headline iwe "Ni Uchina Tena" Kamera za Ufukunyuzi Zenye Nguvu Zaidi Duniani zimetengenezwa na Wanasayansi wa China nchi hiyo ikiweka Viwango Vipya vya Upelelezi na Ufuatiliaji wa Kimataifa visivyomithirika. Kamera hizi mpya zina uwezo wa kushinda viwango vya kimataifa vya...
  19. JamiiForums Tanzania Fun fact: Mto Tshuapa, mto mweusi zaidi duniani

    Real Rio Negro.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Salaam, Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…