Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,826
- 21,057
Real Rio Negro.
kinachofanya maji yawe meusi nini?
Mara nyingine aina ya udongo mto unakopita na mara nyingine mimea(Majani) inayoangukia majini.kinachofanya maji yawe meusi nini?
Toa Sababu za kisayansi, usibuniMara nyingine aina ya udongo mto unakopita na mara nyingine mimea(Majani) inayoangukia majini.
Ndiyo hizo sababu za kisayansi ambazo husababisha mito kuwa na maji meusi.Toa Sababu za kisayansi, usibuni
Madini.kinachofanya maji yawe meusi nini?