1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Ushamba
g. Hawajui kupika
h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu...