Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,038
- 838
Tamaa sana mbele KIZA.
Umeangalia Dp yako kabla ya kupost hii mada yako?
Ukifuatilia zaidi, huyo mwanamke nyumba atakuwa tayari amesha iuza 😄😄😄
Kumbe Changamoto imeanzia kwenye DP.Umeangalia Dp yako kabla ya kupost hii mada yako?
Hii ni dhahiri amekaa kichawachawa.Umeangalia Dp yako kabla ya kupost hii mada yako?
Halafu kajisahau😂Hii ni dhahiri amekaa kichawachawa.
ndo tunakushanga kila kukicha umamwaga sifa kwa sa100 sasa umejua changamoto zao eeee?
Kaikimbia madando tunakushanga kila kukicha umamwaga sifa kwa sa100 sasa umejua changamoto zao eeee?
Jinga sana hili😂Halafu kajisahau😂