yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Masingle Mothers wakimjua Mubabazi Ambae yuko vizuri na hajaoa au haishi na familia wanatamani kunasa kwenye Jimbo

    Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili. Wewe huyo bahili ndiomana anatabia ya kumalizana yaani Gusa Achia, hataki kugandana huyo yeye anakupa chako usepe...
  2. JamiiForums Tanzania Alipoona yuko mbali na haikutosha, hatimae Benjamin Netanyahu alikwenda Gaza na kupiga makele haya

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu visited northern Gaza on Tuesday, accompanied by the country's defense minister, head of the military and other senior officials, his office said. A statement released by the prime minister's office said Netanyahu received a security briefing in...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba jina la Mbunge aliyesema Yuko tayari kuua ili apate Ubunge

    Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado. Alikuwa Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuua ili apate/asikose Ubunge". Tafadhali mwenye ako nayo...
  4. JamiiForums Tanzania Umghaka yuko wapi?

    Kifupi.... Huyu jamaa alikuwa hataki umchoshe wala yeye hakutaka kutuchosha....Huyu jamaa yuko wapi siku hizi!? ...alikuwa anatuburudisha sana stori zake hapa JF... Ni miaka mingi imepita sijamsikia ama kuona stori yake mpya ya 2024 au 2025 hapa....kwani alikua anahadithia kwa kusisimua na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

    Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki. Yule...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yuko Wapi!? Sasa hivi angepiga hela

    Na huenda angefanikiwa. 😂😂😂✍️✍️✍️
  7. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

    Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua Possibly wakaja...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Namuulizia aliyekuwa Waziri wa mkapa, Basili Mramba yuko wapi?

    Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe, Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bashe yuko hoi watanzania waombwa tumuombee apone haraka

    WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani. Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Mzimu Wa Ziwa Tanganyika

    Je! aliibiwa?: wakubwa shkamoni wadogo abari zenu mabinti mambo zenu. Nakusogezea kisa hiki cha kusisimua kuhusu Mzimu wa Ziwa Tanganyika. Moja ya sababu ya maji kujaa na kuharibu mali za watu ni ukumbusho kutoka kwa Mzimu huu kwasababu wahusika waliacha kuutambika mzimu wa Ziwa Tanganyika...
  12. JamiiForums Tanzania Je 'Mungu' yuko wapi?

    Dini zinasema kuwa Mungu anaishi mbinguni. Hapo hapo, zinajipiga mtama na kusema kuwa Mungu yuko kila mahali. Nyingine zinasema eti Mungu ametuumba kwa mfano wake! Je mashonga, majambazi, chawa, madikteta, wauaji, wanyang'anyi, na wabaya wote, nao wameumbwa kwa mfano wa Mungu? Dini zinasema...
  13. JamiiForums Tanzania Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

    Wakuu wa humu heshima yenu! Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania. So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko. Niko safarini, na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla kuhusu ‘Virusi vya Ebola’, ni Kauli ya CCM. Msajili wa Vyama vya Siasa yuko wapi?

    Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??. Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!. Ama KWELI, No Reforms, No Election
  15. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  16. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Johnthebaptist?

    Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo...
  17. JamiiForums Tanzania Freestyler Cado Kitengo yuko vizuri, ila arekebishe vitu kidogo

    Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani hili jina sio geni kwa wengi wenu. Nilianza kumfahamu rasmi nadhani ni 2017 kama sikosei katika...
  18. JamiiForums Tanzania Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

    Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda mwanaume ambae yuko bize

    Kama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu iwe ni kwaajili ya biashara au kazi, na si vinginevyo, utaheshimika na kila mtu, HII CODE NI...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Huyu?

    Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…