yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Tajiri Bill Lugano, yuko wapi?

    Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano. Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao. Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote...
  2. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Prof Lipumba, hajui kama mikutano imeruhusiwa?

    Wasalaam JF, Baada ya kipenga kupulizwa cha kuruhusu mikutano ya kisiasa, ni matumaini yangu kwamba viwanja vya matukio vingekua vinarindima nchi nzima. Ni mategemeo yangu kuona ratiba tight kabisa, hapa Lissu, pale Prof Lipumba, kule Hashim Rungwe (mzee wa ubwabwa) Zitto Kabwa katikati basi...
  3. JamiiForums Tanzania Kipa Siku zote tu yuko jirani na Manara na Matajiri wa Salamander Posta mnategemea asituumize Kimakusudi?

    Mwambieni kama akitaka kufanya Utafiti wa mwana Simba SC gani ANAMCHUKIA/ HAMPENDI kwa Upuuzi wake anaotufanyia kwa Kutumika na Maadui zetu Wakubwa mwambieni Mimi GENTAMYCINE ni Mmoja wao na tena naweza hata kuwa ni Kinara. Kazi Kubwa anayoijua na kuiweza ni Kumroga tu Kipa Mwenzake kwa Mganga...
  4. JamiiForums Tanzania CCM na Chawa, CHADEMA na Makamanda - Nani yuko sahihi?

    WanaJF Salaam! Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu; Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini yanaitwa Makamanda, Operesheni Sangara nk. Nachojiuliza ni kwa nini ndg zangu hawa wakubali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia hii! Sabaya Yuko Jela, Makonda hajulikani aliko, Magufuli kaburini, Mbowe anakula ubwabwa Ikulu

    Naomba niseme wazi, Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi. Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

    Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa. Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa. Viongozi wa Yanga hawakupaswa kabisa kukomaa na mchezaji ambaye tayari saikolojia yake haiko kwenye timu. Nawahakikishia itasumbua...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza vita

    Anasema Zelensky ndiye amekataa kumskliza wayamalize, huyu huyu Putin aliyempa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine, huyu huyu aliyesema atakayeisaidia Ukraine asubiri kipigo, huyu huyu aliyegoma kupokea simu za Zelensky siku za mwanzo mwanzo, amefika mwisho, hali imemzidi, sasa amegeuza kibao na...
  9. JamiiForums Tanzania Biriani na pilau wako ligi mbili tofauti, pilau yuko ligi kuu biriani anacheza daraja la nne

    Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti. Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
  10. JamiiForums Tanzania Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

    Merhaba! Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Maulid Kitenge yuko Qatar kikazi ama kula bata?

    Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
  14. JamiiForums Tanzania Moja ya mashujaa wanoishi

  15. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Erick Komanya Kitwala. Alikuwa Dc Tabora na teuzi yake toka kwa hayati ilisadikika kujaa upendeleo

    Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap. Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo. Alichukiwa na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe kwa dharau zake
  16. JamiiForums Tanzania Mgunda achana na wazee na kupeana fadhila. Mohamed Quattara ni mzima na Yuko kwenye kiwango kizuri. Acheze nafasi ya Kanute

    Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi. Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
  17. JamiiForums Tanzania Joseph Kony yuko wapi?

    Habarini Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu? Kwa ufupi! Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA. Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka...
  18. JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya hili Tamasha la Matokeo ya Sensa?

    Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele. Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa hili tamasha la kuambiwa tuko mil.61? Hivi kweli hawa watawala hawajaona hata shida tu ya maji dar...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Ustaadh Shaban Omary aliyekuwa akipatikana Chang'ombe Unubini?

    Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition? Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…