yesu

  1. JamiiForums Tanzania HIvi zaidi ya Jina la Yesu, ni jina Gani lingine likitajwa watu wenye negative energy wanaanguka na kupata shida?

    Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai? Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo? CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
  2. JamiiForums Tanzania Leo tena Yesu amenitendea muujiza mkubwa!

    Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa...
  3. JamiiForums Tanzania Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  4. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA KWA YESU: Hatimaye jiji limeangukia mikononi mwa mitume na manabii

    Geneva of africa is fall down Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia kivuli cha dini kufanya utapeli. Wanauzia watu maji na mafuta wanayowaaminisha watu kuwa ni ya upako na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasabato na wakatoliki kuhusu kuja kwa Yesu

    Katika waraka wa kitabu cha wathesalonike wa pili,sura ya pili msitari wa kwanza hadi wa nne,Paulo anazungumzia tukio linalotangula kuja kwa Yesu . Imesemwa siku hiyo haitakuja hadi yule mwasi ajiinuaye juu ya kila kitu kiitwacho Mungu afunuliwe.Naye ataketi katika hekalu la Bwana. Swali hapa ni...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Yesu haku kataza kuoa wake wengi?

    Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo; vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote. Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je Waafrika wasiomwamini Yesu siyo wa Mungu?

    Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni. Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?

    Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya? Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada. Hata hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  10. JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu. Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate. Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia...
  12. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona...
  13. JamiiForums Tanzania Kama huamini kwamba Yesu alikufa Msalabani, unapitwa na baraka hizi

    Wasioamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu, wanakosa baraka nyingi ambazo Mungu ametupatia kupitia mateso, kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo. Zifuatazo ni baadhi ya baraka hizo kuu: 1. WOKOVU WA ROHO ZETU Biblia inasema wazi: "Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo hali itakavyokuwa Yesu atakapokuja! Ni mshikemshike!

    Kama kuna habari tunayopaswa kuisikia tena na tena ni habari ya Ujio wa Bwana Yesu Kristo. Hilo ni tukio la hakika na la kutisha kwa wasiomwamini, lakini lenye furaha kuu kwa waaminio. Maandiko yanathibitisha wazi kuwa Yesu atakuja mara ya pili kama alivyokwenda mbinguni. Malaika waliwaambia...
  15. E

    JamiiForums Tanzania YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6 Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kipindi cha yesu kulikuwa na siku ya sabato bila dhehebu la usabato, hivi leo kuna siku na dhehebu

    Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo. Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
  17. JamiiForums Tanzania Je Adam ni kaka au mdogo wake Yesu?

    “Adamu, mwana wa Mungu.” Luka 3:38
  18. JamiiForums Tanzania Yesu sio Mungu

    Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote. Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito Arianism
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

    Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…