yesu

  1. JamiiForums Tanzania Kama Yesu na Muhammad walikuwapo, kwanini wanazua ugomvi na utata?

    Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
  2. JamiiForums Tanzania Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  3. JamiiForums Tanzania Yesu ni muongo au wapambe ndo waongo?

    Shalom shalom Je, Kuna Uthibitisho wa Kihistoria au Kisayansi kwamba Yesu Alijaribiwa na Shetani? Simulizi la Yesu kujaribiwa na Shetani jangwani ni moja ya hadithi maarufu katika Ukristo. Linaonekana katika vitabu vya Mathayo, Marko, na Luka ndani ya Biblia. Hata hivyo, tukilitazama tukio...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

    Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo. Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea maelezo yanayotoka...
  5. JamiiForums Tanzania Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  6. JamiiForums Tanzania Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani. .Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi. .Hawajui kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

    Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema Quran 3 :52 "Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  9. JamiiForums Tanzania Unyakuo wa Trump hauchelewi kama wa Yesu

    Trump ametangaza unyakuo dhidi ya viongozi madikteta wanao ibania Marekani kuchota rasilimali, lakini hata wale wanaotesa raia wao huku wakishirikiana na serikali ya Uchina wanaweza kufikiwa na unyakuo. Maduro wa Venezuela amekwisha nyakuliwa na baba Trump na sasa Yuko mawinguni huko USA. Hofu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  11. JamiiForums Tanzania Kwani Yesu kwenye Quran inamtambuaje kwanini mnawapinga wakristo na sikukuu ya kuzaliwa

    Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao. Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu. Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo

    Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

    Salaam ,shalom! Hii ni habari njema!! GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊 Asomaye na afahamu, Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi. Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim. Mathew 1:16. Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jina la Yesu: Huku ndiko ukristo unakoipeleka dunia

    Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
  16. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  17. JamiiForums Tanzania Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

    Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
  19. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…