yesu

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini tunaadhimisha siku ya kufa Nyerere badala ya kuzaliwa kwake kama wafanyavyo wengine?

    Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa au Birthday ya Yesu, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe, sijawahi kusikia sikukuu ya kufa kwa Yesu, mnafikiri ni kwa nini ? Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu...
  2. JamiiForums Tanzania Yesu Kristo angeishi nyakati hizi angepotezwa mapema sana..... Soma hapa

    Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu? Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

    Hii ndizo punje za Haradali. Ukiwa na imani ndogo kama punje ya Haradali unaweza kuihamisha milima.
  4. JamiiForums Tanzania Yesu na Jobless: Dhana ya janga la ukosefu wa ajira; kuwahi sio kufanikiwa

    Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa Anaandika, Robert Heriel. Mwanafalsafa. Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rose Muhando asimulia jinsi Yesu alivyomtokea live

    Star wa gospel music Rose Muhando aweka wazi kutokewa kwake live na Yesu kristo.
  6. JamiiForums Tanzania Ili kijana wako awe mwanaume anahitajia Baba. Wavulana wanahitaji mifano ya kiume ili waepuke tabia za kike

    Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki. Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
  7. JamiiForums Tanzania Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

    Tujadili kidogo. Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo. Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
  8. JamiiForums Tanzania Swali la Yesu ambalo linakufunga mdomo

    Siku moja Yesu katika harakati zake ,Wayahudi hasa mafarusayo wale ambao hawakumuelewa hasa kuhusu Asili yake ,aliwatandika Swali ambalo liliwaziba mdomo Hawa Wayahudi walikuwa wanajifanya wanayaamini maandiko asilimia 100, Na Yesu alikuwa hasumbuani nao Sana anawatandika kwa maandiko Kisa...
  9. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Ulimwengu wa Roho ni halisi (Yesu, malaika, shetani, mapepo na Mbingu ni halisi)

    UTANGULIZI: Kwa majina naitwa Ndetyefose, napenda kutoa ushuhuda wangu binafsi wa Maisha yangu. Lengo la ushuhuda huu ni kueleza yale matendo makuu ambayo Mungu amenitendea kwenye Maisha yangu. Ushuhuda huu ni wangu binafsi na yale niliyoyapitia kwenye Maisha yangu. Kabla ya kutoa ushuhuda huu...
  10. JamiiForums Tanzania Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

    Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo. Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
  11. JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu Yesu Kristo ilikusudia nini hasa?

    Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya pasaka ya Agano la kale, pasaka aliyoiacha Yesu na pasaka ya sasa (easter)

    Jibu la Biblia Pasaka ni sherehe ya Kiyahudi iliyowakumbusha jinsi Mungu alivyowakomboa Waisraeli kutoka katika utumwa wa Misri mwaka wa 1513 K.W.K. Mungu aliwaagiza Waisraeli wakumbuke tukio hilo muhimu kila mwaka katika siku ya 14 ya mwezi wa Kiyahudi, Abibu, ambao baadaye uliitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu wale wezi waliotundikwa na Yesu walivunjwa miguu

    Inasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema. Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  15. JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  16. JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
  17. JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

    Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza. Ushahidi. 1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana. 2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

    Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…