yesu kristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana kufuata mafundisho ya Yesu Kristo na kuwa Mkristo katika dunia ya sisia?

    Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo. 1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe 2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako. 3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine 4. Kusamehe saba mara sabini 5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji. Haya...
  2. JamiiForums Tanzania Tumsifu YESU KRISTO jumamos ya kesho tarehe 14 tutasherekea kupalizwa mbinguni kwa mama yetu HANGAYA bikira mariam

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6 Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yesu anajibu kwanini kilimo kilikuwa kazi ya kwanza kwa Binadamu

    Mwangaluka wanaJF Ni siku nyingine tena, team ya Yesu Anajibu tunakuletea mazungumzo yaliyofanyika baina ya Ticha Mashamba na Yesu Kristo. Ticha Mashamba alihitaji kujua kwa nini katika kazi zote zilizopo duniani, Yesu Kristo (mshirika katika uumbaji) alichagua kilimo kiwe ndiyo kazi ya kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo? Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake. Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad? Kwa Ufupi Mohamad ni...
  6. JamiiForums Tanzania Safina ya Nuhu ni mfano bora wa ukombozi kupitia kwa Yesu Kristo

    Wanadamu wote wametenda dhambi na wanastahili hukumu ya Mungu. Katika Mwanzo 6:5-7 twasoma "BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. BWANA...
  7. JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  10. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa watu hawa haukuwa na viewers

    Nawasalimu, Salamu za heshima, Karibu msomaji mpendwa. Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kukupeleka katika safari ya mawazo na historia, kukutafakari nafasi ya binadamu katika jamii na namna alivyoweza kuacha alama kubwa hata kabla ya enzi ya teknolojia ya kisasa. Karibu usome kwa utulivu na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo

    Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo wa jamiiforums As-salamu alaykum, Waislam wa Jamiiforums Tumsifu Yesu Kristo

    Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi wakati Yesu Kristo anasurubiwa msalabani,Baba yake (Joseph) alikua wapi kumsaidia?

    Naomba anaejua anipe jibu. Biblia haijaainisha ni wapi alipokua Joseph wakati mwanae anasurubiwa msalabani,kwa nini hakujitokeza kumkingia kifua mwanae?
  14. JamiiForums Tanzania Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  15. JamiiForums Tanzania Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  16. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
  17. JamiiForums Tanzania Mtume alijuaje Yesu Kristo hakuuwawa msalabani na Warumi?

    Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa

    Yesu Kristo ana nguvu sana. Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa. Ni maneno ya binti wa kihindi aliye okoka baada ya Yesu Kristo kumwokoa mama yake. https://www.instagram.com/reel/DK_9jQHt9KI/?igsh=MTBlajgxZTg1anI4Nw==
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…