yasitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Italy yasitisha makubaliano ya ushirikiano wa Ulinzi na Israel

    Serikali ya Italia imefanya maamuzi ya kusitisha mkataba wao wa ushirikiano wa Ulinzi na nchi ya Israel. Waziri Mkuu Giorgia Meloni alitoa tangazo hilo leo Aprili 14, 2026, akielezea kuwa uamuzi huo umetokana na mivutano na migogoro inayoendelea huko Mashariki ya Kati. Ingawa serikali ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani
  4. JamiiForums Tanzania ATCL yasitisha safari za Dubai mpaka watakapotangaza tena kutokana na kinachoendelea Mashariki ya Kati

    Wakuu, Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  6. JamiiForums Tanzania Coastal Union Yasitisha Mkataba na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir

    Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir. Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoiongoza timu yetu. Uongozi wa Coastal Union...
  7. JamiiForums Tanzania UAE yasitisha maombi ya visa kwa raia wa Nigeria kulikoni?

    Wapopo wamefanya Nini mpaka wamepigwa marufuku kuingia Dubai?
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha usafirishaji wa silaha kwenda Ukraine, Ikulu inasema

    Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya Marekani mbele" kufuatia tathmini ya Idara ya Ulinzi kuhusu "msaada wa kijeshi na usaidizi wa Marekani...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Chad yasitisha Visa kwa Raia wa Marekani baada ya Trump kufutia nchi 12 Visa

    Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani. "Chad haina ndege za kutoa wala mabilioni ya dola ya kugawa, lakini Chad ina...
  10. JamiiForums Tanzania China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US. The trade war: China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing...
  11. JamiiForums Tanzania Ujerumani yasitisha misaada yake kwa Rwanda kufuatia mgogoro unaondelea Congo

    Wakuu, Serikali ya ujerumani leo imeitaarifu Rwanda hatua yake ya kusitisha misaada mbalimbali katika nyaja za elimu, tekinolojia na afya. Hatua hiyo imekuja baada ya kuthibitika kwamba Rwanda imepeleka wanajeshi wake nchini DRC ili awasaidie magaidi wa M23 kuvuruga amani nchini DRC. Aidha...
  12. D

    JamiiForums Tanzania China ni kama maji usipoyaoga utayanywa - India yasitisha ununuzi wa drone

    India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo drone zina vifaa kutoka China. Inadaiwa uchunguzi wao ulianza hapo awali baada ya drone zao za...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  15. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani. Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
  16. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS). Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  18. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake takribani wiki ya pili sasa

    Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake ndani ya wiki mbili sasa, Treni hiyo ambayo safari zake huwa ni kuanzia Tazara kuelekea Kigogo sokoni Jijini Dar es Salaam imekuwa msaada mkubwa kwetu Wananchi tunaoitumia. Sisi wananchi tuliokuwa tunaitegemea tunapitia adha kubwa ya usafiri kwa sasa...
  20. JamiiForums Tanzania NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…