yapata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Mji wa Uvira uko mikononi mwa wa waasi wa M23

    Mpaka sasa, taarifa zisizo na vumbi, mji wa UVIRA, makao makuu ya Kivu kusini, upo mikononi mwa waasi wa serikali ya DRC, ambao ni M23. Ikumbukwe, wapiganaji wote wa upande wa serikali ya DRC, asilimia kubwa wamekimbilia nchini Burundi, huku wengine wakiwa wameelekea Kalemie. Kalemie, ni mji...
  2. Nchi ya Saudi Arabia yapata Mufti

    Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al...
  3. Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
  4. N

    Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

    Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
  5. JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  6. Israel yapata miili mingine mitatu ya mateka huko Gaza!

    Shirika la habari la Associated Press (AP) limesema kuwa Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa limepata miili mitatu ya mateka wa Tukio la Oktaba 7 huko Gaza. Miili hiyo ambayo mmojawapo ni wa mwanajeshi, bado Jeshi hilo halijataja majina Yao!
  7. Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  8. Israel yapata kiwewe na ushujaa wa wapalestina.Mbinu za kupambana nao zimewaishia wakati Tsunami ya kimataifa ikianza dhidi yao

    Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao. Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo na bado hakuna malengo yaliyofikiwa.Ufuatao ni muhtasari wa kushindwa kwa mbinu za Israel, 1.Kwa...
  9. A

    KERO Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na havina maji

    Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na pia hakuna maji yapata mwezi Sasa , je viongozi hawalioni hili?
  10. Uingereza yapata meya wa kwanza huko Brighton asiyejua Kiingereza!

    Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
  11. Pamba Jiji yapata ajali

    Basi la wachezaji wa Pamba Jiji FC limepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma majira ya saa 11 alfajiri wakati kikosi hicho kikiwa safarini kutoka Bukoba kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Kombe la CRDB Federation dhidi ya Kiluvya United Machi 11, 2025. Taarifa iliyotolewa...
  12. Air Tanzania yapata hasara ya TSh. Bilioni 580 katika kipindi cha Miaka 9

    Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa. Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo 2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
  13. Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  14. Rwanda yapata Mafuta kwenye Lake Kivu

    Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi? https://www.youtube.com/watch?v=0g7af_f469Y
  15. BADO SIJAPATA MAJIBU YAPATA MIAKA MIWILI SASA

    https://www.jamiiforums.com/threads/chadema-tunaombeni-majibu-ya-swali-hili.2035250/
  16. S

    Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

    Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
  17. Urusi yafanya shambulizi kubwa zaidi la anga nchini Ukraine tangu kuanza kwa vita hiyo mwaka 2022

    Kama kawaida ya Russia inapofika msimu wa baridi hua anataka maadui zake wagande kwenye barafu..Usiku wa leo Bomber zote mauaji za Russia zilikua airborne zimekichafua mbaya robo ya tatu ya Ukraine ipo gizani Urusi imefanya shambulizi kubwa zaidi la anga dhidi ya Ukraine tangu uvamizi wake wa...
  18. Ndege ya Air Tanzania kutoka Mumbai yapata hitilafu, safari yaahirishwa hadi Novemba 6, 2024

    MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi. Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
  19. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  20. Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    Imetokea mbeya asubuhi hii Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…