yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

    Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
  2. JamiiForums Tanzania Dada kupatana na mume wake mahusiano na shemeji yangu yanaanza kuyumba, amesahau tulikotoka

    Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime. Wagombane tu na vitu asilia. Shida sasa sisi tunaoishi mjini. Unatafuta jembe ndani hupati. Hata...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

    Iwe na hivi vitu -4K -120Hz(fps) -55'/65' -HDMI 2.1 Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
  5. JamiiForums Tanzania Matumizi yangu October

    Wote tuna misalaba tunayoshindwa kuitua
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
  7. JamiiForums Tanzania Sijazoea Unafiki naitakia Kila Ia Kheri Klabu yangu pendwa ya Club Africaine kwa Mkapa Leo

    Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022. R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League na ukiwa huko usiache kumuombea Mpiganaji Mkuu ambaye huwa anakubeba mara kwa mara na Mkali wa...
  8. JamiiForums Tanzania Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Kamugisha na Biijampora no. 2

    Rafiki yangu wa siku nyingi Salvanus Kamugisha ni mtu tuliyeshibana. Licha ya sote kutoka kanda ya ziwa lakini misimamo yetu kimaisha ilikuwa inalingana. Kwa miaka mingi tatizo la Salva lilikuwa langu na la kwangu lake. Hivyo basi jana jumamosi jioni nilipomkuta anakata bia mbimbili za mnyama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ndio kwanza nina miaka miwili, bado miaka yangu mitatu

    Ndio kwanza kumekucha kwenye miaka mitano ya kikatiba bado nina miaka yangu mitatu kamili. Mlilia nchi imefungwa mtangulizi wangu ameua utalii, mazao hayatoki ndani bei inawaumiza wakulima, sasa nimefungua kaeni kwa kutulia. Mkadai mtangulizi wangu hapendi kusafiri kwa sababu hajui kingereza...
  11. JamiiForums Tanzania Niwafanye nini viumbe hawa wameharibu suti yangu

    Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
  12. JamiiForums Tanzania Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB. 2. Kazi nimeanza tangu 2012...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maono yangu kwa Tanzania baada ya miaka 3 (2019 mpaka 2022)

    Nimekuja Tanzania kwa likizo baada ya miaka 3 na mpaka sasa nipo hapa na haya ndiyo maono yangu tangu 2019 mpaka leo Sehemu ambazo zina mabadiliko mazuri 1. Ujenzi kwa ujimla umeongeka hasa airport terminal ya Dar ambayo imepunguza usumbufu sana 2. Urafiki kwa wageni umeongezeka airport sana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  16. JamiiForums Tanzania Nachukia sana wauza chakula wanaoleta utaalamu wa afya kwenye menu yangu

    Oya! Mimi nakuja kupiga menu, sio kufuata ushauri wako wa lishe au afya na kutishana kibwege. Kama ni chai au maziwa acha niweke sukari ninavyojisikia. Sio malalamiko kama nakula bure. I hate hii kitu kabisa kabisa. Kama nikitaka ushauri wa Afya au lishe nitaenda kwa wataalamu sio nakula...
  17. JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  18. JamiiForums Tanzania Code alizonipa mzungu zimenisaidia kuona mwanga wa mafanikio yangu na familia yangu hapo baadaye

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini. Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri kwa wazazi siku ya harusi?

    Wadau habarini, Wiki ijayo nategemea kufunga ndoa huko Mtwara, sasa nishaurini ni zawadi gani nzuri ya kuwapa wazazi wangu? Na je, kama ni mistari ya biblia, ni mstari gani mzuri unaohusu wazazi?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Simu yangu imepatwa na "ghost touch", msaada tafadhali

    Habari wakuu, Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. Mwenye ujuzi naomba msaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…