yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ndoto yangu shuleni Sumbawanga

    Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo. Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli changu nilichochukua kwa Dogo mmoja wa Olevel... chini nkiwa nmepiga Soksi na Sendo huku juu tisheti na...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Ndoa yangu "Isininyanyase"

    Utangulizi Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe, mojawapo kati ya mambo ambayo wanandoa wanapaswa kuyaweka vema katika fahamu zao ni kuwa, lengo la uwepo...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kuappeal matokeo yangu ya A-Level ya zaidi ya miaka 10 iliyopita

    Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili. Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini mpaka leo kuwa kuna kamchezo kalifanyika. Hili jambo limekuwa linaniuma sana kwa sababu naona kama...
  5. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

    Ndugu zangu wanajamvi habarini. Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri. Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million. Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
  7. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alijiua kisa mapenzi

    Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako Au...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  9. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

    Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika. Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fursa iliyobadilisha maisha yangu

    FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU UTANGULIZI Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa. Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi na kilimo changu

    "Kilimo ni moja kati ya sekta kwenye uchumi inayobeba sana maendeleo kwenye nchi yetu", ni kauli ambayo husikika ikisemwa na watu wengi hususani viongozi wa serikali. Ila kwangu mimi hapo mwanzo niliipinga hii kauli lakini baadaye nikaja kuelewa maana halisi ya hii kauli. Nakumbuka mara baada...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matunda ya elimu yangu

    Ilikua mchana nikichochea jiko la kuni kwa ajili ya kuandaa chakula, mara simu yangu iliyokua pembezoni mwa figa ikatoa mlio wa ujumbe mfupi. Baada ya kuifungua naona ujumbe kuwa "hongera umechaguliwa kujiunga masomo ya chuo kikuu ya shahada ya sayansi ya maabara".Nilipiga kelele na kububujikwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano. Muda wa...
  15. JamiiForums Tanzania Idugunde nimekuwa very wise. Muda wote convern yangu ni juu ya mustakabali wa taifa langu. Masuala ya mpira wa Ulaya hata Bongo sifuatilii

    Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo. Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal. Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kanye West: 'Nina uraibu wa ponografia na iliharibu familia yangu'

    Rapa Kanye West amefichua jinsi uraibu wake wa ponografia ulivyoharibu familia yake. Bilionea huyo amethibitsha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram Chapisho hilo linasemekana kumrejelea mama mkwe wake wa zamani, Kris Jenner - ambaye anamsimamia Kylie na mke wake wa zamani, Kim Kardashian...
  17. JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Leo. Hongereni sana mliofika hapa

    Hongereni sana mliofika hapa Usajili wa E ushaanza mda kumbe
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nchi yangu katika mapinduzi ya kiuchumi

    JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa...
  19. JamiiForums Tanzania Kutotimia kwa ndoto yangu jana ya Mwigulu Nchemba kutangaza kujiuzulu hakunishangaza!

    Toka siku niliposikia kuwa WIZARA ya Fedha ingetoaa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki, nimekuwa nikiota ndoto. Kuna ndoto na kuna ndoto. Kuna ndoto za usiku na kuna ndoto za mchana. Ndoto za usiku ama ni za kuleta tumaini au kutia hofu na ingawa kwa muda huweza kuleta tumaini...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene maini unayokula si anayokula Mtanzania maskini

    Umetetea sana hoja ya tozo kuonyesha kuwa maisha yamebadilika bla bla bla! Maini mnakula nyinyi tena ya gharama sana - maini hapa yanawakilisha tu mambo mengi ya anasa ambayo viongozi wetu mnapata na huku mtanzania maskini kabisa tena yule wa kijijini huko bado mnanyonya bila hata huruma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…