yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona sipati wateja kwenye tovuti yangu ya Elimu (course website)

    Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
  2. JamiiForums Tanzania Mawazo na ushauri wako vitanisaidia.

    Habari zenu wana jamvi! Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi. Kisa changu kinaanzia hapa; Tangu nilipoacha masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mambo yalikuwa ni magumu kwa upande wangu. Sikuweza kujua nianzie wapi ili...
  3. JamiiForums Tanzania Rafiki mpenzi amenigeuka, amekuwa adui yangu

    Huyu rafiki tulipoteana kwa muda mrefu kidogo. Tulianza fahamiana chuo. Tukamaliza tukaja kutana tena mkoa flani kazini, tukaendelea kuwa marafiki. Baadaye tukatengana tena. Tukaja kutana tena hapa town baada ya yeye kunitafuta. Kumbe alikuwa anakaribia kuolewa. So akawa anataka mchango wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

    123
  5. JamiiForums Tanzania Nywila yangu ya simu yaleta ugomvi

    Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha. Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje wakubwa?
  7. JamiiForums Tanzania Nisaidie kutoa pesa kuleta kwenye account yangu tanzania

    Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

    Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled" This was me today after I learned about the passing away of this great man. Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha

    Leo napenda kuzungumzia Simu yangu kwa namna ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha yangu katika mitazamo, kielimu, kijamii, kisiasa, kitamaduni burudani hata kidini. Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2007 ndipo smartphone au simu janja zilipanza kuja kwa kasi katika nchi zetu, Watu wengine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza kadi yangu ya pikipiki, nifanyeje?

    Wana JF, Kwanza kabisa wasalam. Wakuu nna shida kadi yangu ya pikipiki imepotea kwenye mazingira ambavyo sikumbuki hata mara ya mwisho nilikua nayo wapi. Pikipiki yenyewe nilinunua Kwa mtu hivyo jina pia sio langu lakini Kwa usalama zaidi naamini pamoja na hili ningekua nayo mkononi usalama...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  12. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3. Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo. WhatsApp 0715160365 Call 0747464694
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ukipata mtu mnayependana usimvuruge akaenda, utajutia baadae

    Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu. Mimi nikiwa kijana mwenye uzoefu mkubwa na haya mambo ya mapenzi kwa huu ukanda chini ya jangwa la...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu | Samsung note 9 Gb 128 Pamoja na charge yake

    Only For Tsh.360,000 Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no. Double line☑️ Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533 Simu ipo Tabata Mwananchi
  15. JamiiForums Tanzania Salooni yangu Ipo vizuri

    Shukrani Kwa wadau wote kuni support kwenye hihi kazi kama mnavyoona.
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ninayechukizwa sana na tabia hizi zifuatazo niko peke yangu au?

    1. Nachukia tabia ya mtu kutopenda kwenda na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji. 2. Nachukia tabia ya mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani 3. Nachukia tabia ya Mtu kuamka asubuhi akiwa hajui hata atafanya nini Siku nzima 4. Nachukia...
  17. JamiiForums Tanzania Seifee Hospital walichukua namba yangu kunitumia matangazo yao, hii inanikera sana

    Niliwahi kutibiwa Seifee Hospital iliyoko mjini Dar es Salaam, inayopatikana ile njia kama unaenda Posta. Tangu nitibiwe pale wamekuwa wakinitumia matangazo ya madaktari wanaofika kwao. Hawa jamaa muda si mrefu nitawashtaki maana namba yangu ya simu ni taarifa binafsi na inapochukuliwa inapaswa...
  18. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutaka kupigana kati ya Harmonize na Mwakinyo katika mazingira yake waliyokutana hamna logic!

    salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious. Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta. Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu. Nawsasilisa swali
  20. N

    JamiiForums Tanzania Canon IR 2204 inatoa Copy mbaya. Nini kifanyike?

    Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…