yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

    Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet. so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi...
  2. Hivi ambaye huwa hamuelewi anachokifanya huyu Dada Dk. Anna Henga wa LHRC ni Mimi peke yangu au?

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa Habari, baada ya Chama CHADEMA kupanga kufanya kongamano la maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani...
  3. Maombi na dua yangu kwa taifa la Tanzania kwa yale yanayoendelea

    Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na nchi ile ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei...
  4. E

    Nahitaji wataalamu wa coding watakaonisaidia kutengeneza application yangu na website

    Naweza kupata team ya developers?
  5. Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Portion 01: Here We Go! ....Kwa upande wangu ni miongoni mwa wale watu wanaoamini maisha ni popote hivyo ni kawaida sana ukisikia naishi kijijini ndani ndani kabisa, cha msingi niwe naingiza hela. Kutokana na hiyo mentality, nimejikuta naishi sehemu nyingi sana hapa Tanzania. Moja kati ya...
  6. Pikipiki yangu inachelewa kuwaka

    Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti. Nawasha kwa kutumia kick ila kuna mda nafikiria ninunulie motor starter itakuwa suluhisho LA tatizo au...
  7. T

    PreGE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

    Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia. Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
  8. Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  9. Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  10. Computer4Sale Nauza Laptop Yangu

  11. D

    Msaada: Kibaka/bodaboda ameniibia simu yangu asubuhi hii

    Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu. Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada...
  12. Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk. Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna...
  13. N

    NBC imenipotezea malengo yangu

    Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji ndani ya siku tano tu nitamalizia nikiwa na uhakika na hii bank hasa baada ya kuamini matangazo yao...
  14. Haya mabadiliko yangu ni noma

    Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi.. Naenda kiumri ~ Age 8 - Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi mtoto wa mwalimu na yeye alikuwa mtoto wa mwalimu, saa 4 tunaenda ofisini kunywa chai 👩‍❤️‍👨 sikuwa...
  15. Nifanye nini ili kurudisha fingerprints za mikono yangu

    Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda . Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni kimbembe psychological uwa inaniumiza sababu ni case inayojirudia mara kwa mara kutokana na life style...
  16. Msaada: Nimefungiwa account yangu ya X(zamani twitter)

    Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau. Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata procedure zao za ku-unlock kwenye account ya X, naona wananizengua tu. Kama kuna mdau yoyote anayejua...
  17. Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  18. Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

    Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo: Ripple (XRP) Cardano (ADA) Tron (TRX) Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu: - Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164 - Binance coing (BNB) mwaka 2018 mwanzoni (na pesa nilikua nayo kabisa) price ilikua $5, leo hii 1 BNB =...
  19. Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  20. Microsoft Ina tatzo gani, tangu jana siwezi fungua mlango wa fridge yangu

    Msaada kwa anaye fahamu namna ya kufungua, tangu jana sijanywa maji kabisa ☹️
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…