yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea, leo ndiyo mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasiπŸ™Œ

    Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu. Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi. Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40. Ikaja gari...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

    Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu. Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  6. D

    JamiiForums Tanzania Niuondoeje mstari huu kwenye simu yangu?

    Niu
  7. JamiiForums Tanzania Angalia kazi yangu kabla na baada, ikikupendeza nicheki.

    Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi. Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini. Ukihitaji nipigie 0624254690
  8. JamiiForums Tanzania Namtafuta Mama Yangu popote alipo

    Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu. Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
  10. JamiiForums Tanzania Msaada ushauri wa matibabu ya ngozi yangu

    Wadau ivi nitumie njia gani kusaidia ngoz yangu iwe sawa maana inasumbuliwa na acne plus scars adi inakua kikwazo. Skincare tayari ila naona zinanikataa anyway nitumie njia gani au mafuta gani ili iwe sawa yaan na acne adi Kwa mwili na usoni.
  11. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  12. JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba saba: Mwanadamu aliumbwa duniani kwa ajili ya kuzalisha hewa ya carbondioxide

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art" Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake... Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake. Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio ahadi yangu mke wangu siku nikikupata.

    Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu, siku zote za mahusiano yetu sitachepuka nitakua mwaminifu, Nina uzoefu wa kutosha kama niliweza kua...
  14. JamiiForums Tanzania Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

    Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia. Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁 Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu min-me, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

    min -me Nimekucheck pm mwezi iliopita kuwa natafuta ajira. Unanihakikishia kabisa utani connectia na supermarket yenu ya familia iitwayo "Minimal Price" iliopo mwenge. Ukaniambia hata nikishafika mwenge hio sehemu ni maarufu sana hata wasanii wakubwa kama harmorapa wananunua bidhaa hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

    Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii. nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam. Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani...
  17. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

    Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana! Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu. Your Sincerely, Gwego.
  19. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

    Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb kwenda mtandao wa simu kupitia lipa mkononi muamala wa mwisho nimefanya jumamomosi saa moja hasubuhi...
  20. JamiiForums Tanzania MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…