yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimekatiwa maji na watumishi kisa mita yangu inadaiwa tsh elfu moja na Mia Saba hamsini

    Wakuu, Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi, Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  3. I

    JamiiForums Tanzania RDP ni nini? Katika Kompyuta yangu | RDP Server | Remote Desktop Protocol |

    RDP ni nini? | RDP Server | Remote Desktop Protocol | Maelezo Rahisi RDP Servers? Kabla ya kuzungumzia RDP Servers, ni muhimu kwanza kuelewa RDP ni nini na inatumika vipi. Baada ya hapo, tutajifunza kuhusu RDP Servers na pia tutajadili baadhi ya watoa huduma wa RDP/VPS. RDP ni nini? RDP ni...
  4. JamiiForums Tanzania Nani anirekebishie blog yangu iwe na sehemu ya selling product kama hii

    Kwenu wa taalamu! Usisahau kutaja Bei yako ya kazi
  5. JamiiForums Tanzania Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber πŸ˜€

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
  6. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  7. JamiiForums Tanzania Mikasa aliyopata rafiki ya mama yangu

    SEHEMU YA KWANZA: URAFIKI WA DHATI. Ni kwenye ile wilaya niliyoiongelea kwenye ile stori yangu ya jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu. Ni miaka mingi imepita, wakati huo nilikuwa kidato cha kwanza. Marehemu mama yangu alikuwa na rafiki yake, mama mmoja ambae alikuwa mpambanaji sana...
  8. JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa πŸ€”

    Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa πŸ˜‹ Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya...
  9. JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu juu ya hii report ya CAG

    Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie)...
  10. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ChartGPT

    Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?
  11. JamiiForums Tanzania Hatimae nimemaliza masomo yangu yaliyohusu jinsi ya kuwaelewa wanawake

    Huu ni mrejesho wangu mimi mwanazuoni mwehu ndama jitu la mtumba , mteule wa bwana baada ya kuhitimu shahada ya juu kabisa ya jinsi ya kuwaelewa wanawake na namna Bora ya kuishi nao. Tafiti yangu jadidi iliyohusisha mkusanyo wa data kwa njia za kimtandao , mahojiano ya ana kwa ana , pamoja na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

    Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza. Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

    πŸ›‘ NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025 NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI ==== JamiiCheck imefuatilia...
  15. JamiiForums Tanzania Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

    Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi πŸ™ Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anauliza kuhusu Western Govern University kuna anayefahamu

    Habari wana Jamvi Huyu ndugu yangu aliomba mafasi ya kazi WESTERN GOVERN UNIVERSITY anasema nafasi zilikuwa Arusha . Lkn cha kushangaza alitumiwa mail atume vyetu,kitambulisho Na video short inayomtambulisha yeye ni nani And baada ya hapo akambiwa amepta kazi na mkataba akatumiwa Hoja ni...
  17. JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

    Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu. Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
  18. JamiiForums Tanzania Wazee kuna jamaa yangu ametapeliwa kiwanja anaomba msaada afanyaje

    Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
  20. JamiiForums Tanzania Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

    Hili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…