yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

  2. JamiiForums Tanzania Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

    Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe. TFF simamieni sheria acheni...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  5. JamiiForums Tanzania Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

    Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

    Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
  7. JamiiForums Tanzania Wana Yanga tuna cha kujivunia leo.

    Lazima tujipongeze bhana πŸ˜‚πŸ˜‚
  8. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga πŸ†š Coastal Union πŸ“† 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi πŸ•– 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

    Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi. Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 34, msimu huu katika ligi imefunga mabao 39 na kuruhusu saba tu, wakati Yanga iliyo...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake

    Hapo vip, Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa. Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake. Kwasababu tokea Dunia kuumbwa na yanga kuanzishwa ndio mara a...
  11. JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ JKT TanzaniaπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 24.04.2024 🏟 Isamuhyo πŸ•– 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza. Updates... Dk 25' 0-0 Game on, ball linachezwa kwa kuviziana hapa DK 30' Yanga wanakosa kosa hapa. Bado ni 0-0
  12. JamiiForums Tanzania Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa umakini . Well wafuatao yanga tunapaswa kuwaacha ..! 1. Skudu Makudubela Huyu ni mfanyakazi hewa na...
  13. JamiiForums Tanzania Yusuph Manji: Hans Poppe alinipa wakati Mgumu sana enzi za uongozi wangu

    β€œUnajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana. β€œHata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
  15. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe katoa Meseji kwa wana Simba SC kuwa Yanga SC wanajua ni wapo wanapoiwezea na Kuifunga kila mara na watakavyo

    "Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: East Africa Radio Ukiwa Mpumbavu...
  16. JamiiForums Tanzania Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja. Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
  18. JamiiForums Tanzania Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

    Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare. Ila...
  19. JamiiForums Tanzania Itawachukuwa Simba SC miaka 4 kufikia uwezo wa Yanga SC ya sasa

    Nimewatazama makolo kwa jicho la kiufundi zaidi na nimegundua bado wana safari ndefu isiyopungua miaka 4 ili kufikia walau nusu ya ubora wasasa wa Yanga SC. Kila nikiwasikiliza na kuwatazama wanachama na mashabiki wa Mbumbumbu fc wakitokwa na mapavu, nazidi kuelewa ni kwa nini aden rage...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe. 4. Mabeki wa Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…