yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Yanga kupata saini ya Aziz Ki, wamshukuru Mwanadada Hamisa Hassan Mobetto

    Kwa wasio fahamu Msukuma Hamisa Hassan Mobetto, alizaliwa alizaliwa Mwanza, Tanzania, Desemba 10, 1994. Ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo Kumbuka Hamisa ni rafiki Mkubwa wa Aziz Ki japo yanga wanadai ni shemeji yao, mimi sina hizo taarifa. Ninachojua Hamisa ndo alipiga...
  2. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki bado yupo sana Yanga, asaini mkataba wa kuendelea na klabu hiyo

    Bado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana 😂😁. Mwamba kabakia Yanga SC Cc ephen_ Is here to Stay 🔥 🟡 🟢 Baaasi. Wananchi Ubingwa wa Africa tunao 😂✍️ Pia soma Aziz Ki atua Dar kimafia kumalizana na Yanga, leo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki atua Dar kimafia kumalizana na Yanga, leo kujulikana mbivu na mbichi

    Aziz Ki, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumzikoni kwao Burkina Faso kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  5. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Yanga inaendeshwa kihuni

    Na huu ndo uhalisia uliopoi •Matumizi ya Yanga yanatia mashaka kidogo,timu ina ratiba nyingi zisizokuwa na faida ..mfano kugawia supu mashabiki kisa kuifunga simba ni matumizi mabaya ya hela , kubandika mabango ya matokeo mtaani ni gharama za kujitakia mwisho wa siku timu inatumia fedha kuliko...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Andambwile amrithi Aziz Ki Yanga

    Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika na huku Yanga ikishindwa masharti ya mkataba mpya, kutokana na umasikini. Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

    Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa. Je, Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea?
  8. Revolution 22

    JamiiForums Tanzania Yanga mnapata wapi nguvu ya kubishana na klabu namba tano Afrika?

    Hivi nyie Utopolo a.ka Gongowazi, mnapataga wapi ujasiri hata wa kubishana tu na watu wa timu namba tano Africa kwa ubora? Level zenu ni Ihefu, Dodoma na KMC, hao ndio mnaweza kubishana nao. Next time tutaongea kwa viboko mkiendelea kumuongelea mnyama mkali Africa.
  9. L

    JamiiForums Tanzania CPA wa mchongo umeshindwa kweli kushauri Simba iwe na banda lake pale maonyesho ya Saba Saba ili mfanye biashara?

    Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana. Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Prince Dube striker mpya wa Yanga

    Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹 🗓️ 04 Misimu ⚽️ 34 Mabao Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi My Take Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
  11. L

    JamiiForums Tanzania Angalia mwenyewe kosi la Yanga na kosi la Simba, utaamua mwenyewe uende uwanjani au upotezee

    Yanga 1.Diarra 2.Yao 3.Kibabage 4.Bacca 5.Job 6.Aucho 7.Nzengeli 8.Mudathir 9.Dube 10.Aziz Ki 11.Chama Simba 1.Ayoub 2.Kapombe 3.Tshabalala 4.Chamou Karaboue 5.Che Malone 6.Debora Mavambo 7.Mutale 8.Augustine Okejepha 9.Steven Mukwala 10.Jean Charles Ahoua 11.Kibu Denga 😅😅😅
  12. Labani og

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

    Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini. Mbumbumbu wamejipanga sana Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka. Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim Musa wa Tabora United Hawa wangekuwa ni replacement nzuri ya akina NKANE NA SHERHAN Huko...
  14. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

    Au mnaleta dharau? Anyways " Engineer means business" Guede tulikupenda sana lakini ulikosea sana kudemand pesa nyingi mapema kiasi hicho.. Issue yako ilikuwa bado haija mature. Huu ulikuwa ndio Msimu wako wa kurpove kwamba unastahili kulipwa zaidi ya unavyo lipwa. We wish u all the...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude, Okrah, Chama wameigharimu Yanga bilioni 1.3 ili tu kuwakera Simba

    Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima. Okra Milioni 300 kafunga goli moja. Chama milioni 600 Sina hela lakini nina akili! === Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Clatous Chama awaaga rasmi Simba, ajitambulisha kuwa Mchezaji wa Yanga

    Pia Soma - Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ugeni 'Umedoda' kwani haujawashtua wengi kwakuwa wenye kuujua mpira walitarajia lililotokea

    Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru. === Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini hadi sasa Simba haijatangaza kumuaga Chama kwa heshima kama wachezaji wengine?

    Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa? Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
Back
Top Bottom