yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kuidharau na kuidhihaki Mahakama ya Tanzania kiasi hiki

    Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana. Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Yanga haina Mwanasheria. Eng, Hersi akiendelea nao hawa huko mbele watamfelisha pakubwa

    Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga. Kesi Ngumu Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Magoma dhidi ya Yanga imedhihirisha umbumbumbu wa wanasheria wa Tanzania

    Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa. Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri vifungu vya sheria na procedures tu. KWA mfano: Kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Mtu mzima ananzia...
  5. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Hili swala la wanaojiita wazee wa Yanga, fungujeni akili…

    …Yanga ni kama kuwaweka watu sawa, ukweli ninachokiona mimi kuna kitu kikiubwa kinaenda kuwashukia timu nyungine. Kinachoenda kutokea huko kitasikitisha sana. Natamani kushauri, lakini sioni namna wanavyoenda kusalimika. Itoshe tu kusema kwamba, Uhuni unapaswa kudhibitiwa kwenye vilabu vyetu
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba

    Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hukumu inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Je Yanga inaweza kushitakiwa na mahakama ikiwa itathibitika kuwa wamefanya udanganyika dhidi ya mahakama?

    jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Leo saa 8, Yanga ataambulisha jezi mpya za msimu 2024-2025,

    Eng Hersi Said akili nyingi Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende. Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi. Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini Kwa akili hizi wanahabari watajaa, macho ya watu yote watashuhudia uzinduzi wa jezi mpya za msimu...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

    Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika. Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wanaojifanya wazee wa Yanga waliolipwa na Mo Dewji kuivuruga Yanga wajitokeze hadharani

    Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na kuendesha kesi inahitaji nguvu ya mwili na pesa, Ukiachilia mbali mafanikio yaliyopatikana ndani ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

    Interview hii aliifanya siku za nyuma, sio mpya.
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

    Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi. Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane 1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao. Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania ‘Wahuni’ wanataka kumtoa Hersi kuwa Rais wa Yanga

    Nimeipitia kwa haraka haraka ni kwamba waliofungua shauri (Juma na Mwipopo) walikuwa na hoja KUU 4 ambazo ni; 1. Mahakama iseme bodi ya wadhamini ya Yanga iliyopo madarakani kwa sasa ni batili sababu ipo kwa katiba ambayo sio sahihi. 2. Mahakama iseme kuwa shughuli zote ikiwemo za mihamala...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania What a sign! Duke Abuya ndiye best sign kwa Yanga

    Bodies of jf, i salute you! Usajili wa yanga kwa wachezaji wapya umesemwa sana sana! Wapo waliosema yanga kwa Chama wamelamba dume, wapo waliosema yanga kwa Dube wamelamba dume! Wapo waliosema kwa Boka tumelamba dume! Lakini kijana mmoja wanamsahau ambaye mimi naona ndiye most dangerous...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Orodha kamili ya wachezaji wa kigeni wa Klabu ya Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025 ◉ Djigui Diarra 🇲🇱 ◉ Yao Attohoula Kouassi 🇨🇮 ◉ Chadrack Issaka Boka 🇨🇩 ◉ Khalid Aucho 🇺🇬 ◉ Maxi Mpia Nzengeli 🇨🇩 ◉ Duke Deuces Abuya 🇰🇪 ◉ Pacome Peodoh Zouzoua 🇨🇮...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe naye kama hajui kinachoendelea Yanga

    If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga. 1. Pre season vs Augsburg fc Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo busy na mechi ya Kaizer Chiefs ajui hata lini team itaenda South Africa for that match. In short...
  19. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Yanga yashusha kifaa kipya Usiku huu

    Ni Winga mwenye mapafu ya mbwa... Nasemajeee, Nasemajeee! Watu hawataingiza timu uwanjani..! Mbele Upawa, Nyuma Mwiko
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Yanga kupata saini ya Aziz Ki, wamshukuru Mwanadada Hamisa Hassan Mobetto

    Kwa wasio fahamu Msukuma Hamisa Hassan Mobetto, alizaliwa alizaliwa Mwanza, Tanzania, Desemba 10, 1994. Ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo Kumbuka Hamisa ni rafiki Mkubwa wa Aziz Ki japo yanga wanadai ni shemeji yao, mimi sina hizo taarifa. Ninachojua Hamisa ndo alipiga...
Back
Top Bottom