yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Nitachukia kama Yanga watashiriki kumrubuni Kibu na baadae kumsajili

    Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili. Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni. Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma. Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa...
  2. JamiiForums Tanzania Haji Manara;Double Agent aliyetumwa na Mo kuivuruga Yanga

    Kama umezoea kuangalia spy movies utanielewa,ila kama umezoea bongo kovie hautoniekewa. Haji anachukua mishahara miwili,kutoka kwa Mo na kutoka GSM, Simba ikifungwa huwa anaenda chooni kulia Hutaki acha ubwaya ubwile
  3. JamiiForums Tanzania Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yanga nina suluhisho kwenu kuhusu nafasi za Haji Manara na Ali Kamwe

    Kufuatia kinachoendelea pale Yanga kuhusu kurejea kwa Manara katika nafasi yake ya usemaji wa Club,ninashauri Yanga wafanye kama ifuatavyo: 1. Sababu Ali Kamwe amefanya kazi nzuri ya usemaji wa Club katika kipindi chote ambacho Manara alikuwa katika kifungo, basi nashauri abaki kwenye nafasi...
  6. JamiiForums Tanzania Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga

    Katika ulimwengu wa michezo, hususan soka, uongozi na mawasiliano ni sehemu muhimu sana ya mafanikio ya klabu. Klabu ya Yanga, moja ya klabu kubwa na yenye historia ndefu nchini Tanzania, hivi karibuni imejikuta kwenye utata kati ya msemaji wake wa zamani Haji Manara na msemaji aliyopo, Ali...
  7. JamiiForums Tanzania Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanayanga hawamtaki Manara, kuna watu watarudisha kadi akiludi Yanga

    I will be short manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga. with big names in yanga huyu jamaa will destroy everything Hersi built in years of work. mzee wangu na tawi lake. wanaplan ya kuludisha kadi. manara akiludi tu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mchezaji Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona. Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

    Habari ndugu zangu Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

    All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except; DUBE This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost his aggressiveness that he used to have in Azam. I hope he improves. DUBE can't press sio Yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga vs Aursburg Kabwe- Mbeya

    Wakuu, Leo nipo hapa Kabwe- Mbeya wapi kuna Banda zuri la kucheck hii mechi ya Yanga & Augsburg
  13. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    🔰𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰 🏆 #MpumalangaCup🇿🇦 ⚽️ FC Augsburg🇩🇪🆚Young Africans SC🇹🇿 📆 20.07.2024 🏟 Mbombela Stadium 🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿 Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 3 Augsburg wamekosa goli la wazi Dakika...
  15. JamiiForums Tanzania Unataka kujua haki inatukanajwe? Tembelea viunga vya Mahakama za Prof Juma, kesi ya Yanga dhidi ya Magoma haina namba na imeshaamuliwa!

    Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania KISUTU: Yanga kupewa siku 14 kupeleka maombi ya mapitio (Review) ya case iliyofunguliwa na Mzee Magoma

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam, Kisutu, leo tarehe 19 Julai 2024, maombi yaliopelekwa na Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Michezo ya Young Africans (YANGA) kwa ajili ya kuongezewa muda wa kuwasilisha mapitio (Review) ya uamuzi wa Mahakama hiyo katika Kesi ya Kiraia Na. 187 ya 2023...
  17. JamiiForums Tanzania Napenda Utani wetu wa Simba na Yanga, ila hili la kusema kuwa akina Mzee Magoma na Wenzake wamefoji Sahihi na Nyaraka nalikataa tena kwa 100%

    Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  19. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchomoa Betri Magoma asema kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC lia lia na ana uhakika na hilo

    Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
  20. JamiiForums Tanzania Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

    Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu . Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo . Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…