Kumekucha: Mchomoa Betri Magoma asema kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC lia lia na ana uhakika na hilo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
58,957
115,552
Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na kutonielewa kama Kawaida yenu.

Kama kawaida kwa wale Matomaso ( Msioamini ) hadi mpewe Chanzo au muone Picha au Video yenye Kauli husika nendeni katika Ukurasa wa Instagram wa dom_brand_digital mkaione hiyo Clip na mumsikie wenyewe Mchomoa Betri Mzee Magoma.

Bado nasimama na kile kile ninachokijua na kuwa na uhakika nacho kabisa kuwa Kamwe ni Simba na Ally ni Yanga.

Haya mbishieni sasa na Mchomoa Betri Magoma. Yaani GENTAMYCINE niseme Jambo hapa halafu lisiwe ni uhakika?
 
Mwambieni huyo mzee Atulize Libeneke,yeye anataka posho ale yeye tu na vikundi vya wazee wenzie wahuni,vijana wakila aaaah!
 
Back
Top Bottom