yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Simba ipo Msimbazi Yanga wapo wapi?

    Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi. Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Chelsea wanavyoongea mitandaoni unaweza dhani ni Yanga kumbe hamna kitu

    FT Chelsea 1 - 1 Crystal palace Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu! Kuondoka kwa tajiri Abramovich litaendelea kuwa pigo!
  4. JamiiForums Tanzania Mfahamu mtu hatari zaidi Yanga

    Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto iliyochukua ubingwa CAFCL jamaa alikuwepo. Uhatari wake haupo pale anapokuwa ameketi. Shida huanza...
  5. JamiiForums Tanzania Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

    Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini wana Yanga ?

    Hii ni kanuni ipi ?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

    Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwa Maamuzi yenye utata ndio yaliyoirudisha kwenye reli Yanga .

    VAR ni muhimu sana , ingekuwepo Yanga ingetumia nguvu sana kurudi kwenye form .
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Karibu Watanzania wote wana asili na ushabiki wa Simba au Yanga; basi angalieni ofa za ufadhili wa timu zenu isiwe kampeni ya uchaguzi mkuu 2025!

    Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Yanga sisi tunawaletea tu wachezaji wa maana ili muwasajili

    Chukueni Fernandez Chukueni Abdulrazak Hamza Chukueni Camara Chukueni Kagoma aliyewatoroka Chukueni Mukwala Chukueni Awesu Chukueni Okajepha Chukueni Ateba Kazi mnayo sasa hivi
  11. JamiiForums Tanzania Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  12. JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga

    Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mahesabu CAF - 5 Year Ranking itakavyokuwa endapo Simba na Yanga zitaishia nafasi ya tatu makundi

    Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi. Coefficient ya mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga kwenda kucheza CAF champions Zanzibar, JKU na UHAMIAJI wamekataa kuchezea Zanzibar, Kuna nini?

    Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka kwenda kucheza CAF championship mzunguuko wa pili Zanzibar. Kuna nini hasa hapo? Ufafanuzi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

    Azam FCleo anacheza na APR FCya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya Blanco. Mechi saa 1 kamili. #TUMEIPATA CODE
  16. JamiiForums Tanzania Pamoja na kucheza na vibonde, Yanga yashindwa kuvunja rekodi za Simba na Pamba

    Embu tuweke kwanza pembeni rekodi za Simba za hivi karibuni, hivi kuna timu nchi hii ina historia ya kufunga magoli mengi mashindano ya Africa kama Pamba FC? Unakuwaje na kikosi kama ulichonacho ukijipa matumaini ya kutwaa ubingwa wa Afrika msimu huu, unacheza na timu ambayo hadi msemaji wake...
  17. JamiiForums Tanzania Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

    Rais Samia alitoa ahadi yake ya kutoa hamasa kwa timu zinazo shiriki michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu vya YangaSC, Simba SC, Coastal Union na Azam FC kila Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5. Na hadi sasa Yanga SC amenufaika zaidi ya kuvuna milioni 50 katika michezo yake miwili...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu ni Yanga damu sio SIMBA

    Ila leo huko kizimkazu kalazimishwa kuwa SIMBA damu.. Je huu ni utani wa kisiasa,? Ni madongo? Ni vijembe? Ni hofu kuu ama ni uchokonozi!!!? Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha hutumbuliwa ulipotungia jipu https://www.facebook.com/share/v/CXB42gLoWgoEtC3Z/?mibextid=wWqvZr
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu awaomba viongozi wa Yanga wapotezee suala la Kagoma ili aweze kucheza Simba

    Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba. Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha. Tutatumia muda sana tukitaka kuchimba haya. Kagoma ni mtoto wetu, Yanga ni Club kubwa sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…