yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawashauri yanga wabaki njia kuu ya kupata ushindi kihalali wasifate kile wanachofanya simba kulazimisha ushindi kupitia dirishani!

    Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua isipokuwa Kuna fungu linawekwa kwa ajili yao ili waibebe Simba! Aiwezekani kwenye mechi zao tu ndio...
  2. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Yanga imepata wachezaji imepoteza team

    Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga...
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania Simba yapata mpinzani mkali kwenye nafasi ya pili

    Salaaaam wakuu Kwa jinsi ninavyoona singida Black stars wanavyowasha moto pale kileleni na kuwa namba Moja .......ninapata wasiwasi jinsi upinzani wa kugombania nafasi ya pili baina ya Simba na singida big stars utakavyokua mgumu Kwasababu ni lazima tu Yanga atakua no 1 kwenye msimamo then...
  4. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC 📆 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  5. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

    Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa kumlipa mchezaji wa zamani wa Bechem United, Augustine Okrah, kiasi cha dola za Kimarekani 24,400...
  6. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanasheria wa Yanga yupo kwa Maslahi ya nani?

  7. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Yanga imeifunga Azam mara nyingi ndani ya miaka 5 kuliko Simba kuifunga Azam

    Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau. Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
  8. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Japo Yanga inamtenga na kumchukia lakini Mzee wa Utopolo anabaki kuwa shabiki wa Yanga mwenye mvuto zaidi

    Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi. Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

    Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo. Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine. Diara juu ya mstari, je mpira...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kengold wangekamia SBS, KMC au Kagera Sugar kama walivyomkamia Yanga wangevuna walau alama moja

    Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu vingine hakika mngevuna alama nyingi Sifahamu huwa wanafundishwa nini huko kambini, Ila laiti kama...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC🔰💪🏽 Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 6 Ken 0-0 yng Dakika ya 10 Max anafanyiwa madhambi Dakika 12 Goal...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nilioyaona kwa mkapa Yanga mna haki kabisa kuruka ukuta kimbien hizo getiii zao octb19

    Uchawi hautakaa uishe Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  17. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watanzani wasikuwa upande wa CDM ni Wajinga ndio manaa wanapenda Simba na Yanga

    Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM. Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama...
Back
Top Bottom