yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Yanga isipokuwa seriouz shughuli yaweza kuishia hapahapa kwenye makundi

    Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu. Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge...
  2. koboG

    JamiiForums Tanzania Yanga yetu ifanye hivi ili iwe bora

    Pole kwa maumvi wanayanga wenzangu mimi nachona tumfuke Ally Kamwe, Manara arudi kundini afu Eng.Haris abadilishiwe majukum arudi akasimamie makampuni ya GSM hapa tutakua tumeula Nb: Hii mbini ya kudhamini team za ndani haitusaidii tuachane nayo inaficha udhaifu wetu tunazidi kuifanya simba kua...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Naked truth!: Uongozi wetu Yanga ujitafakari sana na wachezaji wetu

    I salute you kinsmen. Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale . Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili. Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
  4. Blender

    JamiiForums Tanzania Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

    Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga tutarudi imara zaidi

    Mchezo ulikuwa mzuri Mchezo umetuachia somo Huko mbele tunapoenda tucheze vipi Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda Yanga kawaida mechi za kimataifa Huwa tunafanya vyema ugenini zaidi Tushikamane wananchi Tutashinda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni tahadhari mapema ili kesho isiwe kama leo walivyofanywa Yanga

    Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Yanga mpeni Mzee Magoma timu yake mambo yaende sawa

    Wakuu kurujuni imeanza kazi, Kuna wahuni wamejimilikisha timu ilihali wamekuja mjini juzi. Mzee Magoma hayupo peke yake rudisheni timu kwa wenyewe mambo yakae sawa. PIA SOMA - Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Manara acha kuhujumu club ya yanga

    Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans Hii timu Ina historia kubwa katika mpira Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo Nasema...
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

    inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba waliachana naye pia hawakuona msaada kwake. tukaenda mchukua kama tulivyofanya kwa Okra. Nani...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  14. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

    Kama nilivyoandika hapo. Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

    Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja. Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu Yanga bado ina kitete...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Ramovic aingia ubaridi, asema ni mara yake ya kwanza ligi ya Mabingwa

    Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema! "Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yanga wasitarajie ushindi kutokana na kocha mpya, ubora wa wachezaji ndiyo utaibeba timu

    YangaSc Vs Al Hilal NJE YA PICHI.... Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote mbili. Msimu huu Al Hilal wanashiriki ligi kuu Mauritania ambako mpaka sasa wanaongoza ligi wakiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini game ya Yanga imeahirishwa lakini ya Simba haikuahirishwa?

    Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo?? Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu. Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga. Pia Yanga...
  19. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Jezi za yanga zimehuzunisha sana japokuwa wengi wanazisifia

    Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano. But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni madude makubwa, washabiki wake wanaongozwa na imani, ni vyema kuwa makini pale tunapogusa mambo yake

    Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini. Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
Back
Top Bottom