Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,689
- 140,366
Huyu mwarabu anajua kunata na biti
Wamefungwa mfululizo halafu wanakuja kuishauri Simba ambayo haijapoteza.Wanaohangaika kuanzisha nyuzi za kumponda Fadlu😂😂😂 hii timu wote makocha sijui Kwa nini wanaajiri 😁😁
Ukisikia kupagawa ndo hukoWamefungwa mfululizo halafu wanakuja kuishauri Simba ambayo haijapoteza.
Moja haikai mbili haikai,wanajisahau kuna mechi yao na NamungoUkisikia kupagawa ndo huko