yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

    Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia. Kocha huyu ana Leseni ya UEFA Pro na ana wastani wa miaka 3.13 katika kazi ya Ukocha. Pia anapendelea kutumia formation ya 4-2-3-1...
  2. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

    ...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo. Na hii...
  3. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Leo ni yanga

    Kila kitu tushasahau na single channel mind zetu tayari! Itakuwa gamond for 2 weeks kila kona nchi nzima then fahamu zetu ndio zitarudi tusubiri toleo lingine la maigizo tena. Mungu atuhurumie tu (kama yupo na anaona)
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri moto unawaka Yanga. Arafat alitishia kujiudhulu kama Gamond hatoondolewa

    Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo. Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita kumvunjia mkataba gamondi lakini Arafat alisimama na msimamo wake hakuna kumpa muda tena gamondi timu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Huku akiwa ameshafungashiwa virago, Bodi ya Ligi Kuu yamfungia Gamondi michezo 3 na kumpiga faini

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo; Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
  7. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Miguel Gamondi akiwa Yanga

    Wakuu mpo Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga. Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi. Makombe 🏆 1X NBC Premier league 🏆🏆2X FA Cup 🏆 1X Community shield 🏆 1X Toyota Cup Ushindi wa 5-1 Vs...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Yanga kufukuza Kocha kisa kichapo kutoka kwa Tabora United

    Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United. Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sead Ramovic kutua Yanga akichukua nafasi ya Gamondi

    Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo. Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024. TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw. Uongozi wa...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sio siri tena, Gamondi ameshafukuzwa sijui Yanga wanaficha nini?

    Kutoka vyanzo vya ndani kabisa vya waliopo Yanga, Gamondi ameshapewa mkono wa kwaheri. Sijui kwanini Yanga hawataki kutangaza?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

    Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi. Lawama za Kila aina zimerushwa kwa yanga baada ya kupoteza mechi 2 dhidi ya Azam na Tabora united, lakini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

    Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

    Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi? Sisi tumemchukua kocha wenu yeye...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FIFA yaifungia Yanga kusajili kutokana na kushindwa kulipa madai ya Augustine Okrah

    VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club Miami, 11 November 2024 Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation Dear Madam, Dear Sir, We refer to the abovementioned matter, as well as the decision passed by FIFA in the matter ref. no. FPSD-15711 (the Decision) In this context, it...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ligi ilinoga zaidi Simba na Yanga walipoacha kushea uwanja

    Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki. Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule kutafuta pa kujisitiri. Ni hadi ilipoupata uwanja wa KMC, Simba ndiyo ikaonekana kutulia, ikichangiwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
Back
Top Bottom