yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga na maandishi makalioni

    Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni. Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

    Wameyatimba, Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars. Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
  4. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

    Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini. Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR. Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  6. Dabil

    JamiiForums Tanzania Timu aliyotoka kocha wa Yanga Yashinda mchezo wake wa kwanza

    Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League. Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka. Kocha huyo mpya wa Yanga jana...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Magoli waliyopigwa Yanga kwa kiarabu

    Huyu mwarabu anajua kunata na biti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

    F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Limeuliza Jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu, nimeshangaa

    Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi. Nilidhani elfu 5 tu. Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake? Hivi tumerogwa wapi
  10. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Yanga tumepewa heshima tuliyoililia

    Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi, wameridhika n.k Lakini hawajui, hiki ndicho kinawatafuna yanga, msimu ulioisha tumeshuhudia yanga ikiwa ya...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

    Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business. Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga yatoa pole kufuatia kifo cha Faustin Ndugulile

    Soma: Breaking News: TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

    Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa! Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitumie tena uwanja wa Mkapa. Wanatuhujumu

    Tuwe tunahama viwanja hadi tutakapopata kinachotupa ushindi au sare. Nashauri tuhamie hata Iringa Mjini
  16. Mr Alpha

    JamiiForums Tanzania Madalali waiponza yanga

    Niliwahi kuonya habari ya madalali kwenye soka letu, nikaonya tabia ya kupenda vitu vya bei nafuu hatimaye naona Yanga wameingia kwenye mtego, wameenda kuchukua kocha wa bei nafuu, kocha wa viwango vya baba levo Nashauri aliyewapa Yanga wazo la kumtimua Gamondi na kumleta huyu kanjanja akamatwe...
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga kadaini fedha zenu kwa Mganga aliyewaaminisha Dube atafunga game ya jana

    Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

    Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi? Wachezaji hawana teamwork? Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani? Wachezaji wamelewa sifa? Physicality ya wachezaji ni hafifu? Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni? Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao. Pang Fung Mi
  19. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Yanga isipokuwa seriouz shughuli yaweza kuishia hapahapa kwenye makundi

    Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu. Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana Pacome huyu ni mzee.. ukiangalia tu sura yake unaona ni kibabu, mwili unakataa Auchoo, huyu ni babu pia mwili unakataa ni bonge...
  20. koboG

    JamiiForums Tanzania Yanga yetu ifanye hivi ili iwe bora

    Pole kwa maumvi wanayanga wenzangu mimi nachona tumfuke Ally Kamwe, Manara arudi kundini afu Eng.Haris abadilishiwe majukum arudi akasimamie makampuni ya GSM hapa tutakua tumeula Nb: Hii mbini ya kudhamini team za ndani haitusaidii tuachane nayo inaficha udhaifu wetu tunazidi kuifanya simba kua...
Back
Top Bottom