yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi za yanga Bodi ya Ligi imeziweka mbali

    Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni tarehe 15.06.25 hapo Kuna gape la siku 27 yanga atakuwa hajacheza mechi, hii imefanywa makusudi Ili...
  2. JamiiForums Tanzania Nachelea kusema kuwa hii nchi kuna mambo ajabu. Ni miezi miwili Sasa Kila siku redioni na magazetini wanajadili mechi ya simba na yanga

    Asubuhi ukifungulia redio kwa masaa zaidi ya 2 utasikia wanajadili mechi ya simba na yanga. Wanajadili jambo hilohilo kila siku. Wakibadili mada basi italetwa mada ya kamari. Mara cheza pesa, tatu mashetani, weka butua. Failed state Failed leadership Failed citizens
  3. C

    JamiiForums Tanzania Yanga wakiamua kusambaza uongo unasambaa kwa kasi kwa shabiki wao mithili ya uongo wa shetani dhidi ya kweli za Mungu

    Uongo wa hii timu huwa unawachota hadi baadhi ya mashabiki wa Simba na wao kuingia kwenye mfumo. Walishafanya kwa chama wakimuita konokono baadhi ya mashabiki wa Simba wakaingia kwenye mkumbo wa kumlaumu chama kuwa amezeeka,lakini hatimae akasajikiwa yanga kiulaini sana. Yanga wakaanza kelele...
  4. JamiiForums Tanzania Simba Sc inampumulia Yanga kisogoni kabisa

    Viporo vyote vimeliwa bila utata wowote. Sasa Yanga inapumuliwa kisogoni. Yanga mnaisikia pumzi ya Simba Sc?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhari usimuhoji wala kumfanyia interview mwana Yanga yeyote. Wana hasira sana Kwa sasa

    Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview. Itakushangaza Majibu yake...! Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme Lolote kama Wanaitaka amani,hapo alikuwa anatoa maoni yake Kipindi Cha michezo Cha Usiku clouds...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga kelele nyingi, Simba wana nguvu, wamemtoa Kayoko kwenye mfumo, wamemtoa meneja wa uwanja aliyewazuia wasifanye mazoezi

    Tangu ile derby ambayo man of the match alikuwa Kayoko, Kayoko hajachezesha mechi yoyote Simba waliwaambia kuwa huyu dogo hafai kuchezesha hata marede akaimbe singeli, ushahidi wa audio na video akipanga njama za kuibeba uto ukawekwa mezani. Kayoko amepotea Meneja wa uwanja aliyewazuia Simba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga madai yao ni nini?

    Nimefuatlilia sana kuhusu stance ya Yanga kugomea mechi. Naona huwa wanaishia na neno HATUCHEZI. Au tunaonewa. Au Dhulma! Naomba msaada wa kujua hasa madai yao ni nini? Maana wanapingana mpaka na maelekezo ya CAS kama vile wapo Dunia yao; Je, ni hulka tu ya uana harakati? Lakini wangeweka wazi...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga ni chamdeko.. Yanga ni lialia

    Mitifuano inayoendelea mitandaoni kuhusu Derby ya Kariakoo kuhusu Yanga kutocheza ama kucheka inakuzwa na ujinga wa timu hiyo kongwe ya Jangwani pale penye mafuriko na tope kila mwaka Sababu wanazotoa ni za kitoto sana na za kijuha kabisa.. Yaani ni kama vile wanataka kubebwa kama ccm...
  9. JamiiForums Tanzania Haka ka Ally Kamwe kanatusaliti: Yanga ipo tayari kucheza na Simba Derby

    Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

    Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza. Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ikiandika barua Bodi ya Ligi kuwa haichezi na Simba Juni 15 Nitaamini kuwa Mechi Haipo, Vinginevyo Simba Ikipuuza itakufa kifo kibaya sana

    Yanga haijaandika barua kwa bodi ya ligi kuwa haitacheza mchezo wake na Simba juni 15, walichokifanya sasa hivi ni danganya Toto tu kwenye page yao ila washaazimia kucheza mchezo huo, wanachokifanya sasa hivi kwa vile mechi hiyo ina mambo mengi yanayofanyika nje ya uwanja ikiwa makafara mazito...
  12. JamiiForums Tanzania Hersi Matches zilizobaki za Yanga zichezwe kwenye Uwanja wetu

    Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi ili tusihoji mambo ya msingi. Tunakazana kukata viuno HATUCHEDHIII....
  13. JamiiForums Tanzania Yanga wanagomea Mchezo kwa kuwa hawamtaki Kijumbe

    Nimejitihibitishia pasina shaka kuwa kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Utopolini. Usijekuta wamechanganyikiwa kwa madeni katika michezo, wameibiwa na kijumbe wao halafu wanakuja huku kutuvuruga kwenye mpira wanatuimbia Hatuchezi, Hatuchezi! Embu tuwaulize vizuri, mchezo upi huo hawataki...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Yanga ndo Giant football in Tanzania Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa, tunaomba tu Simba wafuzu tukutane final Chonde chonde 5imba msije kukimbia kama mlivokumbia derby...
  15. JamiiForums Tanzania Videos : Hili sakata Yanga tunapigwa Miti kila sehemu. Huku Simba wamenyamaza tu

    Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili. Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
  16. JamiiForums Tanzania Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Yanga wapo serious waache kuwazubaisha washabiki wao waiandikie bodi ya ligi barua kuwa wasiweke ratiba yao ya tarehe 15

    Uogozi wa Yanga wamepewa taarifa pamoja na timu zingine ratiba ya michezo iliyobaki Sasa kama wapo serious kweli waandike barua TFF kuwa hawapo tayari kucheza mechi ya tarehe 15 kama kweli wanamaanisha.
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na Yanga kuandika barua ya kurasa 170; Serikali yasema haitaingilia Bodi ya Ligi na TFF

    Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS. Pamoja na hayo serikali imetoa tamko rasmi kwamba haiko tayari kuingilia suala hilo kwa sababu ni kinyume na...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice Reporters wa Crown, Nassib Mkomwa

    Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice ripota wa Crown, Nassib Mkomwa aliyepost kuwa Yanga ipo tayari kukosa ubingwa wa Ligi na kukatwa alama 15 kwa kutocheza Derby. Wamemzuia kutoa taarifa za yanga o bila uthibitisho wa viongozi na aombe radhi ndani ya 24 hrs.
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurudishwa uraiani siku moja kabla ya Yanga kutangaza kuwa watacheza derby

    Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU. Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama. Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…