yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Yanga imemfukuza Mwinyi Zahera, imekuwa mbovu kuliko ya Zahera

    Papaa Zahera aliendesha timu bila mishahara Timu iliyojaa wachezaji wa kiwango cha chini kuliko hii ya leo ila timu ilikuwa na morali na matokeo ilikuwa inapata Na hata timu tajiri kama azam na simba zilipata shida sana kucheza na yanga ya Zahera Mkwassa na Msolla wakampiga majungu...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga baada hiki kipigo tulichopigwa na Simba leo Msolwa kuna haja abaki klabuni

    Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini. Hivi viongozi wanajua shida tunayopata mashabiki, hebu Msolwa na wenzake watupishe kidogo. Hivi Msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa. Nimeumia sana leo.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nimependa spirit ya Molinga game na simba, nashangaa kwanini uongozi wa yanga haumpendi

    Habari wadau Nina majonzi ya kufungwa na watani japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu. Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi.. Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa Molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi Spirit yake kali sana na leo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa level seat usitishwe kama Simba na Yanga watajaza uwanja wa taifa

    Nimepita uwanja wa taifa na kuona magari ya serikali yakiuza tiketi za pambano la watani wa Kariakoo. Kwa kiashira hiki ni dhahiri uwanja wa taifa utatapika leo. Hili likifanyika basi marufuku ya level seat ISITISHWE. Marufuku hiyo iliyochukuliwa kama tahadhari ya Corona itakuwa haina maana...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

    Kwa tulichokifanya ' Kamati ya Roho Mbaya na Ufundi wa Kimila ' usiku wa Kuamkia leo ili Kulipiza Kisasi kwa Yanga SC tutakapocheza nao Kesho Jumapili tarehe 12 July, 2020 kama Yanga SC akishinda ( akitufunga ) tena basi GENTAMYCINE najitolea kuwa namwagilia Bustani zote za Manispaa ya Mji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

    My Take Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha. Msipofanya hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Morrison aishtaki Yanga TFF akidai kusainishwa mkataba ambao haufahamu

    Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Bernard Morrison ameishtaki klabu hiyo TFF, akidai kutotambua mkataba mpya wa miaka 2 unaodaiwa alisaini kwa makubaliano maalum. Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake, Elias Mwanjala imeanza...
  8. JamiiForums Tanzania Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

    Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde. Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare! Kila mara huwa nawaambia watani zangu...
  9. JamiiForums Tanzania Mkwasa na Yanga yako mtamkumbuka Molinga.Tushachelewa

    Wakatii KIJANA wawatu akibaki dar wakati WA covid akijua anasubiria kuongezewa MKATABA LA hasha Hali ikawa TOFAUTI kabisa kabisa KIJANA akaonekana hafai haitajiki kabisa yanga Wapoo waliotamani avunje hata MKATABA aondoke Si mwingjne n KIJANA Molinga WA ndanda AMBAE alionekana hafai ujio WA...
  10. JamiiForums Tanzania ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

    Final Score: Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 80" Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 72" Goal Yanga 2 -1 Kagera Sugar{Awesu, Molinga, Kaseke} 60" Yanga 1 - 1 Kagera Sugar 52" Goal: Yanga 1 - 1 Kagera Sugar {Awesu, Molinga} 50" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar HT : Yanga 0 - 1 Kagera Sugar 40" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar...
  11. JamiiForums Tanzania Simba Sports, Yanga Afirica FC hakuna mwenye hekima hata mmoja?

    Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma mbona hamuwazi kuanzisha makazi ya Krabu Dodoma. Pale mlipo kwanza hapafai. Mmebaki na majengo ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa Rais wa Yanga ama simba, zingetingisha sana Africa, uncle Magu ukistaafu njoo utuongozee yanga kama rais misimu mitatu tu

    Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

    Habarini za mchana wakuu, Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo; 1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na...
  14. JamiiForums Tanzania Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

    Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana. Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga. kuna watu...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ni jinsi gani GSM wanavyoanza Kuhatarisha Amani ndani ya Klabu ya Yanga kwa Usanii wao juu ya Mchezaji Bernard Morrison fuatilia hili

    MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha. Moja Leo Eng. Hersi ameongea na Kaimu Katibu wa Yanga ametoa barua vyote zimesema wamesaini mkataba na Morrison 20/03/20 na...
  16. JamiiForums Tanzania Azam Fc yamshtaki "refa wa Yanga" kwa Bodi ya Ligi

    Kocha aliyeepusha kipigo cha Deportivo La Utopolo ameshitakiwa kwa bodi ya ligi. Bodi itende haki
  17. JamiiForums Tanzania Haya sasa wale Mabondia Sports Club a.k.a Yanga Sports Club msiishie tu Kutaka Kuwapiga akina Yikpe na Molinga kama mnaweza hebu mpigeni na huyu nione

    " Lakini ukweli lazima usemwe kwa sasa tuna pambana kukaa juu ya Namungo na kwenye FA tu habari za ligi na nafasi ya pili zili komea jumapili, " Anton Nugaz. Na kwa Kuwakumbusheni tu ili UTOPOLO FC msisahau Mnyama Mnyamani ( Simba Sports Club ) nikishinda tu Kesho dhidi ya Mchovu Mbeya City...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vyombo vya habari kutoripoti Yanga kubebwa, Azam waiandikia barua bodi ya ligi

    Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata. Ilifikia...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Toka jana Mzee katuonesha na Coach amekubali tufuate Masharti

    Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
  20. JamiiForums Tanzania Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

    UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…