yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo waliyoikaba Yanga ni Refa na Fei Toto

    Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona, ikipigwa kona haiwezi kuwa offside mbona mpigaji yoko kwenye kibendela ? Refa iliikaba Yanga kwa sababu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Timu zinazoshiriki michuano ya CAF ina mabeki kama kina Inonga kuanzia wawili, hili yanga lazima tulitambue

    Hili wananchi lazima tulielewe. Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya. Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Yanga SC ushirikina ndio ulitawala

    Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo; Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja (picha ya kikosi) sababu kila mtu alikua anamtegea mwenzie nani awe wa mwisho kuingia Pili Inonga...
  5. JamiiForums Tanzania Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

    Dah,huyu jamaa
  6. JamiiForums Tanzania Yanga hawatafurukuta CAFCL.

    Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao. Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba akishadhibitiwa basi tu inatepeta. Simba ndio kipimo cha watakachokutana nacho ligi ya mabingwa. Kama Yanga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

    Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
  8. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu mechi ya Simba na Yanga 29.04.2022

    Hello soka lovers JF Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

    Naaam wasalam wakuu, Ile siku maalumu iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..Pambano la watani wa jadi katika soka la bongo, leo mtoto hatumwi dukani Karibuni katika matukio mubashara(live updates) ya mtanange huu wa kukata na shoka baina ya mahasimu wa Soka la bongo, #KariakooDerby...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati mkataba wa Yanga ukimalizika, Bakari Mwamnyeto asaini mkataba wa Tsh milioni 190

    Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili jipya. Taarifa zinaeleza kuwa Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Tsh...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni dhahabu mchangani

    Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka, ni ukweli usiopingika vilabu hivi viwili ni dhahabu mchangani kwa maendeleo ya soka na nchi kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga SC yangu (yetu) Kesho nashauri kiwe hiki na Kisibadilishwe tafadhali

    FIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho 1. Msheri 2. Shomary 3. Yassin 4. Job 5. Shaibu 6. Mauya 7. Kaseke 8. Mapinduzi 9. Ushindi 10. Makambo 11. Ambundo Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe...
  13. JamiiForums Tanzania Ubashiri: Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Jumamosi

    MECHI YA YANGA NA SIMBA TUMEICHUNGULIA TAYARI... KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA SIMBA AFUNGWE... ATAKE ASITAKE...INSHAA ALLAAH... Nabi ataanza na kikosi hiki Inshaa Allaah... 1. Diarra 2. Djuma shaban 3. Kibwana Shomari 4. Bangala 5. Mwamnyeto 6. Aucho 7. Moloko 8. Sureboy 9. Mayele...
  14. JamiiForums Tanzania Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  15. JamiiForums Tanzania Combined Yanga vs Simba Jumamosi

    1 Manula 2 Djuma 3 Hussein 4 Mwamnyeto 5 Enonga 6 bangala 7 Sakho 8 Feisal 9 Mayele 10 Chama 11 Morrison
  16. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Ramadhani Kayoko kuwa 'Pilato' mechi ya Yanga vs Simba

    SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka leo mwamuzi wa mechi ya Yanga Vs Simba hajatangazwa?

    Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa! TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani. Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
  18. JamiiForums Tanzania Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

    JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi Aprili 30, 2022 saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda. Hii sio tu kwa mabosi wa timu hizo, ila hata mashabiki wao. Lakini kuna tukio kubwa lililojiri jijini Dar es Salaam jana usiku. Vigogo...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa tuzungumze kimichezo, Nawapongeza sana Simba, Yanga tuna la kujifunza kwa Simba hili liko wazi atakayebishe ana matatizo kichwani

    Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nasikitika Wadau wa Mpira hatumpongezi Mwamuzi wa leo aliyewachezesha Yanga SC na Namungo FC kwa Uchezeshaji mzuri na wa Kuigwa

    Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…