Sababu 7 kwanini Yanga hatuna raha

Mdukuzii

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
2,555
6,381
1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora

2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF

3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale

4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa

5. Manara kufungiwa

6. Senzo kumkimbia Morisson

7. Kocha Nabi kugoma kusaini mkataba mpya

8 .kufungwa na waganda kwenye siku yetu

9. Jezi za wapinzani wetu kuwa kali
 
Ayo yoote uliyo ainisha apo ndio Makombe ya Simba na tunawapongeza , sisi Yanga furaha yetu ni kuendelea kuomba Mungu tufike tarehe 13/08/2022 salama. Siku iyo ndio tunaanza kuchukua taji la kwanza katika msimu wa 2022/2023.
 
Ayo yoote uliyo ainisha apo ndio Makombe ya Simba na tunawapongeza , sisi Yanga furaha yetu ni kuendelea kuomba Mungu tufike tarehe 13/08/2022 salama. Siku iyo ndio tunaanza kuchukua taji la kwanza katika msimu wa 2022/2023.
Furaha unayo?
 
Alisaini mwaka na nusu mwezi wa nne mwaka jana,huu mkataba unaisha mwezi wa kumi,bado miezi miwili kuna timu zinataka kumlipa milioni 100 wakati huku kwetu hafikishi hata milioni 30
Ngoja tuone maana hali mbaya ila Hawa makocha wa kigeni wanazingua kama yule van wa Simba alivyoondoka ni dizain kama hii
 
Bora umekuwa mkweli, wenzio wanapiga kelele tu mkataba wa Simba na M- bet feki, wakiambiwa waweke original wanaleta makasiriko tu.

Nabi ameandaliwa mkataba mnono na FAR Rabat ya Morroco akarithi nafasi ya Sven, akiukataa atakuwa hajielewi.
 
Mm yanga ninachotaka Ni furah tu ya kubeba makombe na Wala cwez kuoji lolote Kwan pia mm cjachangia hata Mia yanga kufika pale
 
Back
Top Bottom