yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za Phiri zinafanywa na bwana mdogo Clement mzize na Yanga wala hawaringi

    Nafikiri ubora wa timu unaangaliwa pia na upana wa kikosi chenye wachezaji wanaoweza kutoa ubora ule ule walionao wachezaji wanaoanza kikosi cha kwanza, Yanga wameonyesha ni timu yenye kikosi kipana kisichomtegemea mchezaji mmoja kupata matokeo. Wameonyesha hilo kwenye mechi za ligi tofauti na...
  2. JamiiForums Tanzania Ushangiliaji huu wa Yanga SC una maana gani?

    Alafu hawa kina Faisal na Kibwana walikuwa wanaelewa kweli kinachomaanishwa hapa au walikuwa wanafata mkumbo.
  3. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naifananisha Brazil na Yanga SC huku South Korea ikiwa ni Zaalan FC kwa kinachoendelea

    Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili. Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya kufika fainali na hata kuwa mabingwa ni Argentina.
  5. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

    Mara paaaap tunaambiwa Yanga Wana michezo 40 bila kufungwa kwenye michezo ya ndani. Tumegeuziwa kibao Tena tunaambiwa ni kwa NBC premier league wakati huko nyuma walijumuisha ASFC Bahati kwao wametukuta watanzania hatujambo kudaka Mambo kwa ushabiki. Naomba mwenye takwimu aweke tujiridhishe...
  7. JamiiForums Tanzania Msemaji Ali Kamwe na Yanga SC kwani kusema kuwa Bernard Morisson kagoma hadi alipwe chake mlichomkopa mnaogopa nini?

    Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa? Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja kuipinga/kupinga na kuonekana kama vile hali ni shwari, mkisahau kuwa wanaonipa hizi taarifa zenu nyeti ni wenzenu...
  8. JamiiForums Tanzania Morrison asimamishwa Yanga kwa utovu wa nidhamu

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo alipewa adhabu hiyo na wachezaji wengine wawili wa klabu hiyo, Djuma Shaban na Farid Mussa ambao kwa ujumla wamekosekana...
  9. JamiiForums Tanzania Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

    Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
  10. JamiiForums Tanzania YA NDANI KABISA: Ahadi ya Kampuni ya Silent Ocean kwa Prisons FC ikiifunga Yanga au ikitoka Sare ni ya Kuzuga tu

    Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean aitwae Saalah ni mdogo wa damu kabisa wa tajiri wa Yanga SC Gharib mwenye GSM yake halafu na dogo Saalah ni mwana Yanga SC lia lia kama ilivyo kwa kaka yake. Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka jikoni Yanga SC na hata kwa wana Simba SC walioko ndani...
  11. JamiiForums Tanzania Kufungwa na Ihefu, Yanga imeonesha ukubwa wake

    Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano. Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko mkiani mwa ligi. Hii imetokea kwa timu kubwa kama Ujerumani na Argentina kufungwa na timu ndogo kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga: Tumewapa hela na point wamechukua

    Hii sio habari mpya kabisa. Ni jambo linalofahamika. Ila tu kwa siku ya jana imetokea utapeli. Mtoa rushwa kalizwa. Wakati mwingine Uto mkiona hali kama ya jana, kwenye dakika ya 80 kamateni mpira kisha kapteni akahoji mbona mnaenda kinyume na bahasha?
  13. JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Ihefu dhidi ya Yanga, zipe maneno

  14. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  15. JamiiForums Tanzania Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  16. JamiiForums Tanzania Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

    Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Mtangazani Maulid Kitenge wa EFM na wa Redio zingine msiache Kuisifia Unbeaten Record ya Yanga SC iliyoishia rasmi leo

    Yaani kama Simba SC na Argentina zinafungwa tena zikiwa na Nyota wao akina Chama na Messi Wewe Yanga SC ni Nani Usifungwe? Kudadadeki. Wana Yanga SC Wote mlioko hapa JamiiForums jiandae Kunichukia GENTAMYCINE kuanzia sasa (leo) na tukutane hapa hapa baadae Saa 4 Kamili Usiku.
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Yanga SC je, baada ya Kipigo cha Leo na Ihefu FC tuendelee Kushangilia kila Dakika?

    Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
  19. JamiiForums Tanzania Dakika 5 zimeongezwa za nini katika Mechi ya Ihefu FC na Yanga SC inayoendelea?

    Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana. Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee. Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
  20. JamiiForums Tanzania Kocha Mwambusi acha Uyanga utawatoaje akina Mwalyanzi na Tegere ambao ndiyo Wanaisumbua Yanga SC?

    Kocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi. Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…