Kufungwa na Ihefu, Yanga imeonesha ukubwa wake

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,332
12,647
Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano.

Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko mkiani mwa ligi. Hii imetokea kwa timu kubwa kama Ujerumani na Argentina kufungwa na timu ndogo kwenye mashindano.

Hakuna timu ambayo haifungwi, lakini inategemea inafungwa na timu zipi na mara ngapi.
 
Kazana kulia hakuna wa kukufuta machozi
Naona mlishangilia sana kupita kiasi kuonyesha kuwa mliteseka kupita kiasi kwa muda mrefu na zile unbeaten. Poleni sana, lakini record hii itadumu kwa zaidi ya miaka 50…
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Kufungwa na Ihefu hakuumi kuliko kufungwa na Simba, Azam, mbeya city au timu iliyoko nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Hii unbeaten ya Yanga itaimbwa miaka 100 na dunia nzima ya Soka,
 
Muhimu juzi mmepigwa vibaya mno na ihefu hizo habari za historia sisi hazituhusu.
 
Kipi unachokifurahia hapo, ni Simba kupunguza pengo au Yanga kufungwa na Ihefu? chunga sana ndugu yangu hapo, maana simba itafungwa tena hivi karibuni na pengo litabaki vilevile.
 
Uto wiki nzima mnaweweseka kutolewa bikra na mkulima wa viazi
kufungwa na timu ndogo kwenye ligi ni jambo zuri sana kwa afya ya timu kubwa. Hii inasaidia benchi la ufundi, wachezaji na uongozi wa timu wajisikie njaa ya kufanya vizuri, waache kubweteka na waache kudharau timu (awaking call). Kocha mkuu itamfanya awaheshimu wachezaji na wachezaji wamheshimu kocha, waheshimiane. Mfano, Nabi alidhani kuwa hakuna mchezaji ambao hata akikosekana atapata matokeo tu. Hatujui Morrison ana shida gani hadi asichezeshwe, maana mechi ya mwisho alitolewa kimkakati sio kwakuumia, ila tunafahamu kuwa Morrison alionyesha kama vile alikataa kufanyiwa mabadiliko. Sasa hatujui kama anaumwa, ana matatizo au amepewa adhabu kwa kosa lile. Kufungwa na Ihefu binafsi niliona ni sawa tu ili kurudisha wadau kazini.
 
Yanga ilidhani kupata matokeo ni jambo rahisi. Hii itaisaidia timu kua na fighting spirit. Hakuna kitu rahisi duniani hapa.
kufungwa na timu ndogo kwenye mashindano ni dalili ya kiburi, ulevi na kujisahau kwenye mashindano. Inatokea pale kocha inapoanza kuwadharau baadhi ya wachezaji wake na kudhani kuwa hata hakikosekana mchezaji gani atapata matokeo tu. Wachezaji nao wanadhani kuwa kuifunga Club Africain, Simba, Mbeya city na timu nyingine kubwa ni kushinda kila timu nyingine.
 
Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano.

Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko mkiani mwa ligi. Hii imetokea kwa timu kubwa kama Ujerumani na Argentina kufungwa na timu ndogo kwenye mashindano.

Hakuna timu ambayo haifungwi, lakini inategemea inafungwa na timu zipi na mara ngapi.

Njia imekuwa pana sasa,tumekuelewa.gongowazi
 
Naona mlishangilia sana kupita kiasi kuonyesha kuwa mliteseka kupita kiasi kwa muda mrefu na zile unbeaten. Poleni sana, lakini record hii itadumu kwa zaidi ya miaka 50…
Tulishangilia mmefungwa na timu ilikuwa inashika mkia kwa muda ule
Leta kilio kipya tukufute machozi
 
kufungwa na timu ndogo kwenye mashindano ni dalili ya kiburi, ulevi na kujisahau kwenye mashindano. Inatokea pale kocha inapoanza kuwadharau baadhi ya wachezaji wake na kudhani kuwa hata hakikosekana mchezaji gani atapata matokeo tu. Wachezaji nao wanadhani kuwa kuifunga Club Africain, Simba, Mbeya city na timu nyingine kubwa ni kushinda kila timu nyingine.
Kumbe mnakubali mmefungwa na timu ndogo haya nenda kabweke vizuri pale jangwani
 
Screenshot_20221201-104413_WhatsApp.jpg
 
Labda wajinga tu mliopo uto ndyo mtaendeleza hizi ngonjera
Kufungwa na Ihefu hakuumi kuliko kufungwa na Simba, Azam, mbeya city au timu iliyoko nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Hii unbeaten ya Yanga itaimbwa miaka 100 na dunia nzima ya Soka,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom