Yanga ilikuwepo, ipo, na itakuwepo.
Usiku wa kuamkia leo umewakera wanayanga wengi kwa uamuzi wa kutoa mchango wa fedha kwa chama cha siasa. Yanga ina mashabiki kutoka vyama vyote vya siasa. Hata Chadema walipofanya harambee kama hii, klabu haikuchangia. Iweje leo klabu ichangie fedha nyingi...