yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Kushinda kwa Yanga katika kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal kuna maana kuelekea dabi?

    Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi kunako club hii ya jangwani Sasa mjadala huu umeibuka tena kuelekea mechi ya dabi baina ya Simba na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Feisal Aje Yanga Tumalizane,Yanga ni kubwa kuliko Yeye

    Tangazo la Yanga la March 6 ambalo lilikuwa very clear katika option ambazo tumetoa, tumesema kama Feisal anataka kuondoka aje Yanga aondoke kama Kuna klabu inamuhitaji aje klabuni tumpe mkono wa kwa heri. “Hizi option zote anazozitafuta hapa tunashangaa kwanini yupo hapa, sisi sio kwamba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Al Halal Kumng’oa Mayele Yanga

    Klabu ya Al Hilal ya nchini 🇸🇩Sudan ipo tayari kutoa 💲600,000 sawa(Tsh 1.38b) kumsajili mchezaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
  5. JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
  7. JamiiForums Tanzania Ahmedy Ally: Yanga huwa wanatufunga kwa kubahatisha hawajawahi kuwa 'level' zetu

    " Sisi Simba tunaamini mara zote ambazo Yanga ameshinda dhidi yetu huwa wanabahatisha bahatisha tu. Hii ni kwasababu Yanga hajawahi kuwa na ubora kama wa Simba, Yanga hawajawahi kufika Level na Standard yetu Simba. Safari hii hatutakubali wapate ushindi wa dusko dusko ". "Tunao watu wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

    FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie Musonda😀 YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha! 🔰
  9. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Ndoto inayotisha dhidi ya ndoto inayosikitisha Simba, Yanga

    NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine kutoka jiji hilo lenye wakazi milioni tatu na zaidi nchini Morocco. Lakini kuna ndoto nyingine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  11. JamiiForums Tanzania Maombi kwa TFF: Mechi ya Yanga vs Simba isogezwe mbele kwa maslahi ya Taifa

    Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda. Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa maslahi makubwa ya nchi mechi ya Simba na yanga ipelekwe mbele kupisha mashindano ya kimataifa

    Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili. Wapizani wa Simba na Yanga pia wapo kwenye tension kubwa namna gani kuzicheza mechi zao na hizi timu ambazo kila...
  13. JamiiForums Tanzania Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  14. S

    JamiiForums Tanzania Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

    "Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo. Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baleke kwa Nabi ni benchi

    Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi! Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.
  16. JamiiForums Tanzania Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

    Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa 1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz ki Ni moja kwanini Aziz ki alipwe m10+ uku fei akipewa robo ya mshahara wake Je watafanikiwaa
  17. JamiiForums Tanzania Nilisema humu kabla feitoto hakuitwa stars ili acheze Bali kukutanishwa na Yanga. Fact 10 hizi hapa

    Kwa uzito. 1. Tayari kocha mkuu wa stars na Msaidizi Moroko wamekiri kumshauri arudi Yanga ili acheze stars. 2. Alipofika tu airport akapigwa picha akiwa na wachezaji wa Yanga. 3. Tff iliwaacha Kapombe na mohamedi huseni. Ili feitoto aone kuwa mchezaji mkubwa Basi ucheze Yanga. 4. Kwa uhalisia...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba wawakimbia Yanga tarehe 16

    Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi. Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni kukwepa vichapo mfululizo . My take Yanga msikubali kusogeza mechi mbele nyie ndio mna game Nigeria...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…