Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya Yanga wakati Ranga Chivaviro, mshambuliaji mwenye magoli matano sawa na Fiston Mayele kwenye kombe hilo la Shirikisho barani Afrika,ataongoza safu ya ushambuliaji ya timu ya Marumo Gallants.

Yanga timu iliyochukua ubingwa wa Tanzania bila kufungwa inakwenda kukutana na timu yenye wachezaji wenye uchu wa kuandika historia Afrika ili timu yao ikishuka daraja wasajiliwe timu nyingine kubwa barani Afrika, wachezaji wenye uwezo wa kubadilika uwanjani kulingana na mchezo unavyokwenda, Ranga Chivaviro ndiye straika hatari zaidi ndani ya kikosi cha Marumo Gallants ambaye kwenye michuano hiyo ana mabao matano sawa na Fiston Mayele wa Yanga, sasa mabeki wa Yanga watatakiwa kumtupia jicho la umakini, Mchezaji huyo ana jicho la kuona nafasi za kufunga, hakati tamaa hadi aone mpira upo kambani, Yanga isimpuuze kabisa mchezaji huyo,ana kasi ya ajabu yenye kuwachanganya mabeki kama hawatakuwa makini na wepesi kutafsiri nini kinafuata pindi mchezaji huyo anapowania mpira.

Yanga inatakiwa imalize mechi Tanzania, Kocha Nabi anatakiwa kufahamu Marumo Gallants ni timu hatari wanacheza kwa kasi,kitimu,mbinu na akili kubwa kuliko nguvu na wana wachezaji vijana wenye uchu wa mafanikio na dhamira yao ni kutwaa kombe hilo la Shirikisho barani Afrika,naamini Yanga ni timu kubwa,lazima ijue njia ya kupenya ili ishinde na kutinga fainali,unapotaka kumshinda mpinzani wako lazima umkabili kwenye uhalisia wake na siyo vingenevyo, Yanga,Yanga,Yanga hii mechi mkifungwa maana yake bingwa wa Tanzania kafungwa na timu inayoshuka daraja nchini Afrika ya kusini,Kila la kheri Yanga,Daima tupo pamoja.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Microfinancing on Poverty Reduction.
 
Wewe jamaa siasa zomekushinda sasa umekuja kuandika mashudu yako
 
Sio kweli, Yanga amefungwa na Simba goli 2-0.
Hivyo hajachukua ubingwa bila kufungwa.
 
Kama Marumo atatumika ndio kipimo cha ubora wa ligi yetu kwakua anashika nafasi ya 14 kwenye ligi yao basi majibu tuliyapata ule msimu Orlando anaenda mpaka fainali na alikuja hapahapa watu wakampitisha na wao walipoenda kule walichoma mpaka uwanja kwa moto.
 
Back
Top Bottom