yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania CAF Imetoa Takwimu za Golikipa Wa Yanga Vs USAM kuelekea Fainali

    πŸ‡²πŸ‡± Djigui Diarra πŸ†š Oussama Benbout πŸ‡©πŸ‡Ώ A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! πŸ₯…
  2. JamiiForums Tanzania Eti Yanga sc ndiyo watabeba kombe la CFCC kwenye huu uwanja thubutu

    Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? 😝😝😝
  3. JamiiForums Tanzania Kwa sasa jezi za Yanga ndizo zinazoongoza kuvaliwa mitaani, asanteni Yanga kutupa confidence mashabiki wenu

    Hello bosses and roses Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

    Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu anayotumia Mnyama ili Yanga asiwe Bingwa caf confederation cup, inatisha!

    Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno. Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele kutimka Yanga

    Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga kushinda 1-0 dhidi ya USM Alger Dar es Salaam

    Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano. Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
  9. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

    Wa Nje Dumbia Morrison Kisinda Juma Shaban Wa Ndani Ngushi Ambundo Bryson Zawadi Mauya Johora Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
  10. JamiiForums Tanzania Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  11. JamiiForums Tanzania Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Watanzania wana furaha sana

    Habari ndugu zangu, ujue dunia inaenda kasi sana. Ni muda mrefu taifa letu limekuwa linalililia uwakilishi wa vilabu vyetu kimataifa. Hatimaye Mungu amekisikia kilio cha watanzania baada ya muda mrefu. Hii picha hapo chini nitawezaje kuwaeleza kwamba YANGA waliweza kuwa kwenye picha hii? Ndo...
  13. JamiiForums Tanzania Kihasibu; Simba watapata bilioni 1 za CAF, Ni yanga pekee ndie ana nafasi ya kulipwa bilioni 2 au zaidi

    Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi. Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k. Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
  14. JamiiForums Tanzania Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

    Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba. Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi. Nilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Walioi-undermine Yanga wapo wapi saizi?

    Wachambuzi waliing'ang'ania Yanga na kutoa maelekezo yao kwenye Mic kwamba Yanga hafiki mahali popote. Kwasasa wapo wapi au wanaendelea kufuta "posts" zao ??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  17. JamiiForums Tanzania USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

    Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
  18. JamiiForums Tanzania Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

    Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani msituringishie! Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
  19. JamiiForums Tanzania Linganisha pesa za CAF walizopata Simba na Yanga

    Soma kwa makini na ikumbukwe bado Yanga anaendelea.
  20. JamiiForums Tanzania Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

    Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…