yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

    Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga. Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
  2. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga wageuka uadui

    Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu. Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli...
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki Mazuzu Yanga SC: Hata kama hatutakuwa Mabingwa wa CAFCC, ila bado Medali tutavaa

    Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa? GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza mechi 4 ndani ya Siku 9

    Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga inacheza: 👉Tarehe 3 Juni CAF fainali 👉Tarehe 6 Juni ligi 👉Tarehe 9 Juni ligi 👉Tar 12 Azam Federation Cup. Ndani ya siku 9, mechi nne, hii ni kuikomoa...
  5. JamiiForums Tanzania Kila mwana Yanga SC unayekutana nae baada ya Kipigo anasema Inshaallah hivi ina maana USMA wao hii Inshaallah haiwahusu?

    Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara? Kudadadeki imeshaisha hiyo.
  6. JamiiForums Tanzania Shida ya yanga ni Namba 6 7 na 10

    Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8 Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira Namba saba mwenye kasi na anayetumia reft au Azziz ki arudishe winga Namba saba Msitumie pesa kununua mabeki yanga inavuja katikati kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Zijue Kauli mpya za Kujitetea za wana Yanga SC baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USM Alger FC

    1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini 2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo Fainali 3. Simba SC Wameroga ili Mvua inyeshe na tufungwe 4. Mchezaji wetu Tegemeo Khalid Aucho hakuwepo...
  8. JamiiForums Tanzania Asante sana Fistoni Kalala Mayele kwa goli lako bora la siku. Wanayanga hatuna cha kukudai

    Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo. Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga SC imegeni milioni ishirini ya 'Goli la Mama' ipelekwe kwenye mazishi ya shabiki yenu

    Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake. Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma ujumbe wangu huu kwa Viongozi wa Yanga baada ya kupokea kibunda cha Mama hilo fungu limegwe lipelekwe...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC. Kudadadeki...!! Kila la...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

  12. M

    JamiiForums Tanzania Upendeleo wa wazi kwa Yanga si mzuri kwa tasnia ya mchezo wa soka nchini

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya...
  13. JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

    Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa. Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walikuwa wanaumia na hoja ya kombe la looser ilikuwa ni kujifariji tu

    Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi? Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua. Niwaulize tu...
  15. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Michezo Redioni mbona leo hamchangamki kama mlivyokuwa mkichangamka kabla ya Mechi ya Yanga SC na USM Alger FC ya leo?

    Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona Sura za wana Yanga SC zimekosa Ushirikiano Jioni hii na Usiku huu kama vile Wamesingiziwa Kesi?

    Hakika Mwarabu ni Mtu mbaya sana.
  17. JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mungu hawajaumia na kupoteza Maisha watu wengi Uwanja wa Taifa leo kwenye mechi ya Yanga. TFF wawajibike kwa uzembe mkubwa

    Mpaka sasa Waziri mwenye dhamana na Afya za Watanzania amethibitisha kifo cha mtu mmoja na baadhi ya watu kujeruhiwa. Tunamshukuru Mungu japo kwa uchache huo. Vyovyote itakvyoelezwa Wahusika wawajibike, kwa namna hamasa ilivyokuwa na watu kuingia bure, ilitakiwa mageti ya kuingilia uwanjani...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwana FA umekubali Kuvaa Jezi ya Yanga SC ili Mstaafu Mshawishi mwana Yanga SC akulinde kwa Mama usitumbuliwe Uwaziri?

    Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu. Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
  19. JamiiForums Tanzania Nikikutana na shabiki anayesema Yanga SC imefungwa kutokana na Mvua namzaba Keleb ( Kofi )

    Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua linawaka ndiyo maana Wakawafunga na Wakashinda? Poleni na leo nina Furaha isiyoelezeka.
  20. JamiiForums Tanzania Yaani Naibu Waziri aliye Simba SC Kindakindaki avae Jezi ya Yanga SC halafu mtegemee Ushindi Kweli?

    Nichukue tu nafasi hii Kuwashukuru Klabu ya USM Alger Wachezaji na hasa hasa Kocha wao ambaye si tu anajiamini ila hata alipotua nchini alipohojiwa alisema ameshaiona Yanga SC na kwamba ni wepesi na atawafunga Dar es Salaam na kule Kwao Jijini Algiers nchini Algeria. Poleni na leo nina Furaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…