Shida ya yanga ni Namba 6 7 na 10

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8

Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira

Namba saba mwenye kasi na anayetumia reft au Azziz ki arudishe winga Namba saba

Msitumie pesa kununua mabeki yanga inavuja katikati kwa Bangala na Mudathir.
 
Mlikuwa hamjakutana na timu bora, ndiyo maana hao wabovu mkiwafunga mlikuwa mnatamba mpaka inakuwa kero mitaani hadi kupelekea NEMC walete sheria ya mazingira ili kuzuia upigaji wa fujo😅😅😅
 
Yanga ndio nini??nlishawahi kusema google na app kibao za soka haiitambui hiyo timu,mkasema mie kinega ,sasa angalieni wenyewe wenye tinu yenu mnaiita yanga,.
 
Kwa ushauri.

KIPIMO KIZURI CHA YANGA NI KUCHEZA MICHEZO MIKUBWA NDIPO UTAONA UDHAIFU WAO.
ALAHLY
MAMELODY.
KAIZER.
ORANDO
RAJA

JUMA Shaban umri umesogea.
Bangala umli umesogea.
Aucho umri umesogea.
MAYELE nae ana uwezekano wa kuuzwa.

TATIZO LA YANGA LIPO KATIKA NAMBA ZIFUATAZO

1.Beki wa kulia.
2.Beki wa kati.
3 kiungo mkabaji.
4. Kiungo WA Simba la kati No 8.
5.kiungo Cha juu no 10.
6. Winga zote mbili.

Aucho, Bangala na Djuma.
Hawapaswi kutegemewa kwa misimu miwili mitatu ijayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom