Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu 😆😆😆
Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku akimpumulia kisogoni Mayele hawa uto wamekuwa na makasiriko ya ajabu, nyie uto mna shida gani si mna...
Habari ya muda huu ndugu msomaji wa Jamiiforums,
Baada ya kuwafunga Watoto wa tajiri namba moja hapa Tanzania (According to Forbes) kwa mabao 2-1, vijana wa tajiri asiependa kelele hapa mjini SSB Azam Fc walijihakikishia nafasi ya kucheza mchezo wa mwisho (Final) ya michuano inayodhaminiwa na...
UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu.
Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo.
Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi?
Kwa maendeleo ya mpira.
Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi
Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al Ahyl sijui Raja...." Utafikiri Hawa hawafungiki
Sasa Yanga ashaonja damu na hatoacha, Waarabu...
Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa:
1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani.
2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza.
Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA.
Kila mtu sasa ni;
Yanga
Medali za wachezaji
Fainali
Tukio la kuitwa Ikulu
Mabishano yasiyo na tija...
Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa.
Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii.
Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).
Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara.
Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe.
---
Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga...
Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa.
Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.
Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu?
Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na...
Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana.
Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana...
Muda huu Rais wa Yanga amethibitisha Rais Samia ametoa ndege ya kuipeleka Mbeya Timu ya Yanga kumalizia michezo yake ya Ligi Kuu Bara
Nadhan Yanga ina vinasaba na serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
---
Rais Samia Suluhu ametoa ndege maalum kuipeleka Yanga SC jijini Mbeya kwa ajili...
Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa.
Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na...
Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa kila timu ina changamoto zake na hakuna njia moja ya kufikia mafanikio. Hata hivyo, hapa kuna mambo kumi ambayo Simba SC wanaweza kuyafanya ili kufikia kiwango na ubora wa Yanga SC hivi sasa:-
1. Kuwa na uongozi thabiti na waaminifu ambao unaweza kuendesha timu...