yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mdau anauliza ni kwa nini offer za usajili ni kwa wachezaji wa Yanga tu? Simba kunani? Mbona hakuna hata mchezaji wa Simba anayetakiwa nje?

    MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga yasimamisha maandamano msikiti wa Makonde kupisha Adhana

    DAR-ES-SALAAM YANGA AFRICANS YASIMAMISHA MAANDAMANO MSIKITI WA MAKONDE ILIPOTOKA ADHANA Waandamanaji wa Yanga waliokuwa katika maandamano makubwa wakiwa wamebeba kikombe chao cha ubingwa wa Ligi ya Tanzania walichokabidhiwa Mkwakwani Stadium Tanga wakitokea Uwanja wa Julius Nyerere wakielekea...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa yanga uombe zuio mahakamani baadhi ya vyombo vya habari kuandika kuhusu yanga

    Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo Hii italeta nidhamu...
  4. JamiiForums Tanzania Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

    Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu. Kuna Mambo ya ndani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwako Eng. Hersi Said: Wana yanga tunaomba msimu ujao timu akabidhiwe Charles Boniface Mkwasa (Master)

    Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa tunahitaji kukuona Master Charles Boniface Mkwasa akiiongoza timu yetu katika kampeni ya kuutetea ubingwa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yapanda nafasi ya 6 kwa ubora Afrika

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika. Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022 - 31st May 2023) 1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad 🇲🇦 3. Zamalek 🇪🇬 4. Pyramids 🇪🇬 5. Sundowns 🇿🇦...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa sasa yanga ni timu ya daraja la juu Afrika

    Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa wadhamini, viongozi, wadau, wachezaji, wanachama na mashabiki wa Wananchi Young Africans SC kwa mchakato, uwekezaji na mafanikio waliyoyavuna kwa misimu miwili mfululizo na kutwaa vikombe: Ngao ya jamii x2 Ubingwa wa ligi kuu NBC X2 Azam sports federation...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC tuendelee tu kushangilia Nabi na wengineo kuondoka Yanga SC huku sisi tukiendelea kusajili ovyo ovyo

    Kuna Wachezaji watatu (siwataji) nimethibitishiwa na mtu wa ndani kuwa watasajiliwa na nimetumia siku tatu kuwatizama mmoja mmoja kwa utaalam wangu wa mpira na jicho la kuujua mpira na mchezaji sijaona hata mmoja anayetufaa Simba SC na kwa huu mtindo wa 10% ulioko Simba SC, najua watasajiliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kally Ongala atemwa Azam baada ya kuwauzia Yanga mechi

    Azam hawapendagi ujinga. Ametimuliwa usiku usiku sababu ni kuuza mechi yafainali
  11. JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Anaandika Zakazakazi, YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22 Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo. Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi...
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine. Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa...
  13. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Fei, Yanga na Azam wote wameshinda japo wametupotezea muda

    ILE filamu ambayo ilionekana kutoeleweka hatimaye imemalizika kirahisi. Pengine kuliko tulivyofikiria. Ilionekana kama ingekuwa filamu ngumu bila ya kujua nani angekuwa mshindi. Ilimalizika kirahisi Ikulu ya Magogoni kutoka katika kinywa cha miongoni mwa wanawake wenye nguvu Bara la Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga Princess kuandamana kudai malipo yao

    My Take Utopolo ni kikundi cha wahuni
  15. JamiiForums Tanzania Yanga wapo vinzuriii

    Usinichoshe nisikuchoshe... Hii yanga ni hatariiii Weka mbali na watoto.. Hakuna kama yanga.. Wachezaji wanamchoko ila ubingwa umerudi jangwani.. Kuna timu gani duniani inaweza kushangilia ubingwa kabla ya msimu kuisha:??? Walisema sana mayele hayupo eti tutafungwa kiko wapi nauliza...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini sijapoteza muda wangu kuiangalia Fainali ya ASFC ya Azam FC na Yanga SC?

    - Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia. - Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia. - CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia. - Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia. Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga inatumika na CCM kufifisha mijadala ya kitaifa

    Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam. Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari. Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa...
  18. JamiiForums Tanzania Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

    Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki Simba mtacheza ngoma za Yanga hadi muite maji mma

    Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki Tukarudi kwa Kisinda Tukaenda kwa Feisal Tukarudi CAF na mvua Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC na fainali yake Tukahamia kwenye medali za CAF Tukarudi kwenye kiatu NBC PL Sasa tupo kwenye Bingwa...
  20. JamiiForums Tanzania Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

    Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika. Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…