yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kocha ana Ndevu mbaya kama Paka wa Wodi ya Mwaisela Muhimbili ndiyo mtegemee aifunge Yanga SC?

    Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  3. JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo. Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  5. JamiiForums Tanzania Nani anasimamia Yanga App? Tuanaibiwa

    Kwanza Kabisa mimi ni mshabiki wa Yanga, lakini kuna jambo moja linaweza kuonekana lipo vizuri lakini linakwaza. Nimeshalipia App ya Yanga Mara 3 lakin sipati access ya kusoma habari za yanga. Kwa maana ya kwamba ukilipia bado ukiingia kwenye app haitambui malipo yako na bado itakudai ulipie...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga washindwa kujaza ukumbi wa sinema

    Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema. Hawa watani zangu wanajua kujaza sahani za ubwabwa tu ila mengine yote yanawashinda.
  7. JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    "Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

    Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana. 1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa Aishi Manula aliumia na kwa sababu za kijinga kabisa Beno Kakolanya, kipa mwenye uwezo akawa anakaa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya Yanga na Simba day?

    Poleni na heka heka za weekend. Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023. Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni na parade jingine msimu wa 2023/2024 hakuna timu ya kuwazuia

    Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine! Kutoa mapovu ni ruksa but...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

    Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia. Happy Simba Day leo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

    Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki... Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum.... Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga A yatoa droo na JKU 0-0

    Klabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0. Matokeo yamefichwa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yanga inafanya balaa huko Avic Town kimya kimya

    Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu. Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es Salaam na mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu uliopita wakishinda kwa mabao 6-1. Mabao ya Yanga...
  16. JamiiForums Tanzania Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  17. JamiiForums Tanzania Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  18. JamiiForums Tanzania Documentary ya Yanga SC itakayozinduliwa Augosti 7, 2023 nitaipenda tu ikiwa na matukio yafuatayo

    1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC 2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC 3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo 4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC 5...
  19. JamiiForums Tanzania Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

    Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

    "Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba Kuondoka" amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Hafidh Kounkon kupitia Kipindi cha Spoti Leo cha Radio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…